Faida 10 za kuoa mwanamke mwenye mtoto (single mother)

Faida 10 za kuoa mwanamke mwenye mtoto (single mother)

π—™π—”π—œπ——π—” 𝗭𝗔 π—žπ—¨π—’π—” 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—”π— π—žπ—˜ 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ 𝗠𝗧𝗒𝗧𝗒

1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto).

2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu wa kulea.

3.Anajua thamani ya kupendwa kwa sababu alishawahi kutendwa ama kuushi na mwanaume.

4.Hatatamani kukupoteza kwa sababu alishawahi kumpoteza ampendaye huko nyuma.

5.Atajilinda sana asikukosee kwa sababu ameshajifunza kupitia makosa yalio mtokea huko nyuma.

6.Akikukosea atakuwa mwepesi wa kuomba msamaha kwa sababu anajua hasara ya kutokuomba msamaha.

7.Anajua thamani ya kuitwa mke wa fulani, kwa sababu aliwahi kuipata fursa hiyo akaipoteza, au huyo mume fulani alimtumia vibaya.

8.Anajua umuhimu wa kuwa mvumilivu, kwa sababu ameshajifunza na kujua kwamba kila mwanaume ana mapungufu yake hakuna mkamilifu.

9.Una kuwa na uhakika kabisaa kuwa huyo sio Mgumba.

[emoji736]ZINGATIA[emoji736]

1.Hawa watu wanafaa na wana haki ya kuolewa na kuwa na ndoa zao

NB: other factors remain constant ie mature of women, ancestry behavior like witch, uchoyo &. Absence of big nyashi....

Team kataa ndoa ...sio mahali penu hapa[emoji3063][emoji3063]View attachment 3213431
Binafsi hata uniletee faida 100, siwezi kuoa.
 
Baadhi ya Hasara:

1. Majukumu ya malezi.
2. Mzigo wa kifedha.
3. Mgawanyo wa muda.
4. Uwepo wa baba wa mtoto.
5. Utayari wa kiakili.
6. Mtoto kuwa kipaumbele.
7. Shinikizo la kijamii.
8. Matarajio ya mtoto.
9. Changamoto za nidhamu.
10. Masuala ya urithi.
11. Migogoro ya familia kubwa.
12. Kutoaminiana.
13. Hofu ya mapenzi ya dhati.
14. Uhusiano wa zamani wa mwenza.
15. Malezi yanayotofautiana.
16. Ukosefu wa faragha.
17. Maamuzi ya pamoja kuhusu mtoto.
18. Gharama za elimu ya mtoto.
19. Ushindani wa upendo.
20. Hofu ya kushindwa kukubalika.
21. Kujisikia kutengwa.
22. Mtazamo hasi wa jamii.
23. Ugumu wa kuanzisha ukaribu na mtoto.
24. Shinikizo la kifamilia kutoka pande zote mbili.
25. Hofu ya kuumizwa.
26. Uvumilivu wa hali zisizotarajiwa.
27. Kuongeza idadi ya familia ghafla.
28. Kutokuwa na uhuru wa kufanya maamuzi.
29. Migogoro ya muda wa ubora.
30. Mtoto kutokuwa tayari kukubali mahusiano mapya.
31. Kujiweka pembeni wakati mtoto yupo.
32. Mizozo ya fedha.
33. Hofu ya kupuuzwa.
34. Mtoto kutafuta baba wa damu.
35. Ujinga wa mahitaji ya malezi.
36. Changamoto za kushirikiana majukumu.
37. Hali ya kutokuwa sawa na mtoto.
38. Kushughulika na masuala ya zamani ya mwenza.
39. Maoni ya marafiki kuhusu uhusiano.
40. Kujitahidi kuthibitisha thamani yako kwa mwenza.
41. Hofu ya kutoheshimiwa.
42. Mtoto kushikilia mahusiano ya zamani.
43. Kutoelewana kuhusu mipaka ya mtoto.
44. Migongano ya malezi.
45. Ugumu wa kujenga uhusiano wa kiroho.
46. Kutoweka nafasi yako katika familia.
47. Shinikizo la kuhifadhi amani.
48. Hofu ya kufeli kama baba wa kambo.
49. Muda mwingi wa kuhangaikia masuala ya mtoto.
50. Kukosa nafasi ya kuwa na familia mpya kutoka mwanzo.
[emoji2]
 
Hasara kuu

Aliyemzalisha akitaka kula mzigo anajilia bureeee any time kwa mgongo wa kumuona mtoto. Single maza ni mke wa mtu kabla hujamchukua hakikisha mumewe kafa na kaburi lake ulione. Kinyume na hapo utagongewa na baba mtoto hadi uitishe press uombe poo!
 
Mwanaume ni mjenzi, chukua wako mbichi, mjenge kwa kadiri utakavyo.
Kusubiri REJECT ni kuikana asili ya kiume.

Unasifia makombo yaliyoachwa na wanaume wenzako?

Hebu fikiri kwa mapana, hapo kwenu, kuanzia mzee wako hadi babu zao, nao walioa masingo maza?
Kama sivyo, jiulize kwa nini ilhali hao masingo maza walikuwepo?
Daaah
 
Wewe Labani ni kiazi mbatata[emoji3063] kabisa kichwani una utosi huyo singo maza wako kachukua akili zako umepewa nini??
Hapana mkuu..Kwa ubinadamu yafaa tusiwatenge
 
Hasara kuu

Aliyemzalisha akitaka kula mzigo anajilia bureeee any time kwa mgongo wa kumuona mtoto. Single maza ni mke wa mtu kabla hujamchukua hakikisha mumewe kafa na kaburi lake ulione. Kinyume na hapo utagongewa na baba mtoto hadi uitishe press uombe poo!
Akitaka mtoto...mnaenda wote
 
Back
Top Bottom