Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Tunachoambulia ni kuinunua hio ziada kwa kukopa juu ya kukopa, tukitegemea tutachukuliapo kidogo kutoka kwenye akiba ila kiuhalisia tunajikuta tunaanza kuimega na faida pia maana ziada ya kuinunua ni tamu ina gharamas sana.
Kinachoendelea ni sisi kubaki katika rotation ya mzunguko wa pesa ambao ili upate pesa zaidi unajikuta unainunua hio pesa sio tena kutegesha assets na investment.
Kinachoendelea ni sisi kubaki katika rotation ya mzunguko wa pesa ambao ili upate pesa zaidi unajikuta unainunua hio pesa sio tena kutegesha assets na investment.