Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Anaongoza logo gani tena jamani?1)Simba anaongoza logo
2)Simba hajapoteza mchezo wowote kwenye ligi kuu Wala Ligi ya mabingwa Africa
3)Simba kachukua ngao ya jamii mbele ya mtani wa jadi
4)Al ahly hawajawahi kumpiga Simba kwa mkapa
5)Simba Yuko home ground na mchezaji wa 12
6)Page ya FIFA kuipost Simba ni heshima kubwa
7)......
Anaongoza logo gani tena jamani?
Sikuwahi kujua kama logo zinashindanishwa1)Simba anaongoza logo
2)Simba hajapoteza mchezo wowote kwenye ligi kuu Wala Ligi ya mabingwa Africa
3)Simba kachukua ngao ya jamii mbele ya mtani wa jadi
4)Al ahly hawajawahi kumpiga Simba kwa mkapa
5)Simba Yuko home ground na mchezaji wa 12
6)Page ya FIFA kuipost Simba ni heshima kubwa
7)......
Na kusimamiwa na bodi ya LOGO TanzaniaSikuwahkujua kama logo zinashindanishwa
Wala mihogo mumekaririshana huu ujinga kila anayepost lazima aunukuu.Bila Tatu Malogo pale kati hamtoboi
Mashabiki wajinga wanajulikana Hadi FIFA na yule kocha aliyewaita hivyo FIFA ikaamuru yanga wamlipeHivi Enyimba, Wydad, Tp Mazembe, Petro luanda, Mamelod na Es Tunis mashabiki wao wamekuwa mazezeta kama wa huku Tanzania? Au ndio watanzania ushamba ni mzigo. Wakati wengine wanachukulia ni kitu cha kawaida lakini mashabiki wa Simba pekee wanaona wapo kwenye ulimwengu wa kivyao vyao. Sasa hapo hajashiriki club world cup
Ni wivu tuuhHivi Enyimba, Wydad, Tp Mazembe, Petro luanda, Mamelod na Es Tunis mashabiki wao wamekuwa mazezeta kama wa huku Tanzania? Au ndio watanzania ushamba ni mzigo. Wakati wengine wanachukulia ni kitu cha kawaida lakini mashabiki wa Simba pekee wanaona wapo kwenye ulimwengu wa kivyao vyao. Sasa hapo hajashiriki club world cup
Comment bora ya siku.Mashabiki wajinga wanajulikana Hadi FIFA na yule kocha aliyewaita hivyo FIFA ikaamuru yanga wamlipe
Ujumbe umefikaNi wivu tuuh
Sawa. Ila swali halijajibiwa, je mashabiki wa Al Ahly, Enyimba, Wydad, Petro luanda, Mamelod na Es Tunis pamoja na Tp Mazembe wamehuka kama mlivyowehuka nyinyi?Mashabiki wajinga wanajulikana Hadi FIFA na yule kocha aliyewaita hivyo FIFA ikaamuru yanga wamlipe
Sisi ndio tunaofungua dimba, viongozi wore wa soka wamejaa, kigezo kimojawapo ni timu yenye mashabiki wengi hivyo lazima tuionyeshe dunia tunastahili.Sawa. Ila swali halijajibiwa, je mashabiki wa Al Ahly, Enyimba, Wydad, Petro luanda, Mamelod na Es Tunis pamoja na Tp Mazembe wamehuka kama mlivyowehuka nyinyi?
Unaroho mbaya we mukakaa 😀😀Anaongoza logo gani tena jamani?
Unyama mwingiSisi ndio tunaofungua dimba, viongozi wore wa soka wamejaa, kigezo kimojawapo ni timu yenye mashabiki wengi hivyo lazima tuionyeshe dunia tunastahili.