Faida alizonazo Simba kuelekea mchezo dhidi ya Al Ahly

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
1)Simba anaongoza ligi kuu Tanzania bara
2)Simba hajapoteza mchezo wowote kwenye ligi kuu Wala Ligi ya mabingwa Africa
3)Simba kachukua ngao ya jamii mbele ya mtani wa jadi
4)Al ahly hawajawahi kumpiga Simba kwa mkapa
5)Simba Yuko home ground na mchezaji wa 12
6)Page ya FIFA kuipost Simba ni heshima kubwa
7)......
 
1)Simba anaongoza logo

Anaongoza logo gani tena jamani?
 
Anaongoza logo gani tena jamani?
IMG_8169.jpeg
 
1)Simba anaongoza logo
2)Simba hajapoteza mchezo wowote kwenye ligi kuu Wala Ligi ya mabingwa Africa
3)Simba kachukua ngao ya jamii mbele ya mtani wa jadi
4)Al ahly hawajawahi kumpiga Simba kwa mkapa
5)Simba Yuko home ground na mchezaji wa 12
6)Page ya FIFA kuipost Simba ni heshima kubwa
7)......
Sikuwahi kujua kama logo zinashindanishwa
 
Hivi Enyimba, Wydad, Tp Mazembe, Petro luanda, Mamelod na Es Tunis mashabiki wao wamekuwa mazezeta kama wa huku Tanzania? Au ndio watanzania ushamba ni mzigo. Wakati wengine wanachukulia ni kitu cha kawaida lakini mashabiki wa Simba pekee wanaona wapo kwenye ulimwengu wa kivyao vyao. Sasa hapo hajashiriki club world cup
 
Mashabiki wajinga wanajulikana Hadi FIFA na yule kocha aliyewaita hivyo FIFA ikaamuru yanga wamlipe
 
Ni wivu tuuh
 
Mashabiki wajinga wanajulikana Hadi FIFA na yule kocha aliyewaita hivyo FIFA ikaamuru yanga wamlipe
Sawa. Ila swali halijajibiwa, je mashabiki wa Al Ahly, Enyimba, Wydad, Petro luanda, Mamelod na Es Tunis pamoja na Tp Mazembe wamehuka kama mlivyowehuka nyinyi?
 
Sisi ndio tunaofungua dimba, viongozi wore wa soka wamejaa, kigezo kimojawapo ni timu yenye mashabiki wengi hivyo lazima tuionyeshe dunia tunastahili.
 
Back
Top Bottom