falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
-
- #21
ila nakukumbusha hakuna biashara isiyo na faida wala hasara, hata kipindi hiki kuna kampuni zinaleta mabus mapya kabisaBiashara ya bus kama huna roho ya paka lazima ufe presha, kwa miaka hii sio biashara ya kusena ujaribu inabidi ufanye utafiti wa kutosha ujiridhishe la sivyo utakula za uso...
Wengi waliopata faida nzuri ni wale waliofanya hii biashara miaka ya nyuma, hivi sasa ushindani ni mkubwa mno, usishangae bus kusafirisha hata abiria wasiozidi 15
kila nyota ina biashara yake, sasa usiende kufanya biashara isiyo nyota yakoTafuta crip moja Miradiayo alifanya mahojiano na Summry utapata kitu aliongea changamoto nyingi za hiyo biashara.
Tunajuaje hizo nyota mkuu ? Ila nyota si ni jambo la imani kama ilivyo ulozi?kila nyota ina biashara yake, sasa usiende kufanya biashara isiyo nyota yako
Tata mpya ni 115m, hapo utatakiwa kutengeneza carrier na kupaka rangi. Gari inatoka na rangi nyeupe. INA kuwa pia na sehem ya kuwekea TV na music systemWakuu hiv zile Eicher ama Tata zinazo piga ruti katika jiji la Dar es Salaam ni bei gani ikiwa mpya?
Mkuu hili mm sio mjuzi. Masuala haya ninkwa mujibu wa wenyewe wamiliki na wafanyabiashara hizosafi mkuu umetoa maelekezo ya kikubwa. lakini ningeomba unisaidie kuhusu ufafanuzi wa asili ya chuma. je ni watu wenye nyota waliozaliwa july-august
Safi sana. Tupe maelezo ya ziada ya masuala ya ulozi na makafara Mkuumkuu mimi nipo kwenye tasnia hii muda mrefu najua wapi nipeleke basi gani na la aina gani na wateja wangu wakina nani.pia mimi ni mmiliki wa vyombo hivi vya usafirishaji abiria
kwani wewe unaamini makafara?Safi sana. Tupe maelezo ya ziada ya masuala ya ulozi na makafara Mkuu
Hapana mm namwamini Allah sw pekeekwani wewe unaamini makafara?
abiria ndio huwa mnaamini kila gari lazima lina makafara lakini si kweli kabisaHapana mm namwamini Allah sw pekee
mambo haya yalitajwa hata kwenye bibliaTunajuaje hizo nyota mkuu ? Ila nyota si ni jambo la imani kama ilivyo ulozi?
Tata mpya ni 115m, hapo utatakiwa kutengeneza carrier na kupaka rangi. Gari inatoka na rangi nyeupe. INA kuwa pia na sehem ya kuwekea TV na music system
Gari hizi zina matumizi mazuri ya mafuta. Tatizo hazipendi milima, rough road, zina matatizo ya Umeme usipokua muangalifu. Mafundi wa gari hizi wapo kwenye kampuni yao
hiyo ndoto sahauSGR ikikamilika mabasi ya njia ya moro dodoma yatapaki.
Hili unalolisema ni kweli. Binafsi nilishawahi kufanya biashara ya daladala. Safari za Mwananyamala-Ubungo; Tandika-Gongo la Mboto na Kariakoo-Ubungo. Sasa kuna nyakati gari zilikuwa hazitulii barabarani yaani kila mara majanga. Mara trafiki, mara inasumbua hiki, mara ajali. Daah, basi wale madreva kwa kuwa nilikua na umri mdogo na wengi wao watu wazima ikabidi siku waniite waniweke chini na kuniambia masuala ya shirki wakidai kampuni ishaingiliwa na "mdudu". Daah nikawakatalia. Lastly nikaona wanazingua tu. Nikauza mabasi yote 10. Nilianza na daladala moja hadi 10 ndani ya miaka 3 tena si kwa kukopa.abiria ndio huwa mnaamini kila gari lazima lina makafara lakini si kweli kabisa
Ila zipo baadhi ya kampuni huwa wanatoa hayo makafara.?!abiria ndio huwa mnaamini kila gari lazima lina makafara lakini si kweli kabisa
sawa sawa . mkuu katika web za mabus nmeona zhongtong climber ni 98500usd CIF cost. sasa inakujaje 400mil kama ndo cost ya bus hadi liwe barabarani. inamaan ushuru tra wa climber ni zaidi ya 120mil?Mkuu hili mm sio mjuzi. Masuala haya ninkwa mujibu wa wenyewe wamiliki na wafanyabiashara hizo
mimi sizifahamuIla zipo baadhi ya kampuni huwa wanatoa hayo makafara.?!