Faida/Changamoto za biashara ya Mabasi

mkuu mimi nipo kwenye tasnia hii muda mrefu najua wapi nipeleke basi gani na la aina gani na wateja wangu wakina nani.pia mimi ni mmiliki wa vyombo hivi vya usafirishaji abiria
Mkuu naomba unisaidie. Nataka kusafiri kwenda Mombasa vipi gharama za nauli zipo vipi na nini niandae ktk safari hiyo. Gari gani ni nzuri kwa safari yangu na muda gani was kufika huko... Natokea DSM. Nimeukumbuka ule Uzi wako ulio upost wa usafiri ila nimeshindwa kuupata.
 
Kazi ya uchawi ni kubomoa sio kujenga,uchawi ni imani itendayo kazi kwa MTU anaeuamini.Hivo kwenye biashara ni imani tu ifanyayo Kazi kwa aaminie


Jibu zuri kabisa kwa mtoa mada.
I hope ataelewa,ila mi nninamashaka nahuyu jamaa kuamini kuwa kuna nyota ya moto,na nini sijui.....

Mshindi ni mmoja peke yake(anayeamini Mwenyezi Mungu mmoja)
 
Aiseee summry Yale mabas cjui yalikua yamelaaniwa au nn maana every day
Yalikua yanauwa watu yan hyo kampany
Cjui Kama ilipata faida kabsa maana
Hata hayakudumu kwenye soko
Mkuu jamaa hakufilisika yule...Angalia Hii
[emoji117] [emoji117] Jamaa ka invest kwny kilimo na nahisi kinamlipa kuliko hata hayo mabasi! Kiukweli jamaa kathubutu kwny kilimo
 
Hamna biashara mbovu kama ya gari Leo wanapunguza nauli mafuta yako juu
 
Kiukweliiii umeongea la maaana sana na niwaambie tu mtashangaa sana huu mradi ukikamilika mnachotarajia sicho kabisa SGR hii naifananisha na mabasi ya mwendo kasi tu... Samahani kwa ntakaowakwaza ila huu ndio ukweli TUONGEZE PESA
 
Mkuu jamaa hakufilisika yule...Angalia Hii
[emoji117] [emoji117] Jamaa ka invest kwny kilimo na nahisi kinamlipa kuliko hata hayo mabasi! Kiukweli jamaa kathubutu kwny kilimo
Aiseee kweli kilimo kinalipa sana
 
Kuna siku nilikuwa natoka dar to tanga,sasa nikamuuliza jmaaa mbona abiria hamna????akasema hili basi muda mwingine hata likienda bure hela tunapata kupitia mizigo ambayo ipo kwenye BUTI
 
TAZARA sio SGR
 
Hakuna kitu nakeleka Kama bus kuwapeleka abiria kwenye hotel za bei juu ilihali chakula kibovu

Ukipata Bus ukaweza kutatua changamoto hii utawakimbia Wateja
 
Si bora ununue bus used tu..too expensive..alafu miaka miwil ziko hoi bin taaban
 
Mm niliwasiliana moja kwa moja China yutong, then wakanirudisha Tanzania kwa ajent wao BENBROS kule mikocheni. Hivyo gharama hizo ni kwa mujibu wa Benbros pl
Mkuu naweza pata BP ya Basi na vipi uzoefu wako benki gani zinatoa mkopo bila longo longo
 
How did you make it Boss ndani ya miaka mitatu ukafikisha ten
 
Mtaji wa kununua hilo basi/mabasi uliupataje kiongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…