Sawa bro ushimeni. Sasa tufanye time ni constant, yaani biashara ina mzunguko wa kawaida tu. Hiyo capital faida angalau iwe asilimia ngap ya uwekezaj ili hyo biashara iwe na mantiki, yaan nzuri.Sikuzote profit % inatokana na capital + time
Duh kumbe magari yana faida ndogo hvo. Vipi biashara ya hardware (vifaa vya ujenzi) faida yake ni % ngapi.Inategemea na aina ya biashara, na availability ya materials, storage na company of manufactures.
Mfano bidhaa ya dawa/chemist's,
Jumla profit =100%
Reja reja =300%
Vinywaji, manufacture ameshapanga bei yake ya kuuza.
Nafaka=30-50%
Magari/Yard=10-30%
Etc, wadau watakuja zaidi kuelezea
When it come to money. Percentage doesn't matter. What if umefanya deal la Trillioni 1, ukapewa asilimia 10%.duh kumbe magari yana faida ndogo hvo...vp biashara ya hardware (vifaa vya ujenzi) faida yake ni % ngapi
Sawa sawaWhen it come to money. Percentage doesn't matter. What if umefanya deal la Trillioni 1, ukpapewa usalimia 10%.
Na mwengine deal la bilioni 10 akapiga 50%
Safi sana kaka, bado najifunza. Mimi nmeingia kwenye spea na accesories za magar. So hapo ni 30-50...mahesab yangu binafs niliyofanya kwa hiki changu yamekuja 40%Inategemea na aina ya biashara, na availability ya materials, storage na company of manufactures.
Mfano bidhaa ya dawa/chemist's,
Jumla profit =100%
Reja reja =300%
Vinywaji, manufacture ameshapanga bei yake ya kuuza.
Nafaka=30-50%
Magari/Yard=10-30%
Etc, wadau watakuja zaidi kuelezea
Mkuu MTU akihitaji bidhaa kwako anapata !!,, (bei ya jumla )Sawa sawa mkuu.
10%---16.5% ya bei ya kununulia.. Na mzunguko pambana uwe mkubwa kwa aina ya biashara na sehem uliopo. Itakupa faida kwa kutenga kodi pembeni + matumiz ya kila siku + na mwisho wa mwezi kulipa mfanyakaz au kujilipa(kama hauwekezi tena).Sawa bro ushimeni. Sasa tufanye time ni constant, yaani biashara ina mzunguko wa kawaida tu. Hiyo capital faida angalau iwe asilimia ngap ya uwekezaj ili hyo biashara iwe na mantiki, yaan nzuri.