Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Angalia faida kika bidhaa isiwe chini ya 20% Ila hakikisha unaangalia muda na mzunguko wa bidhaa huika.Safi sana kaka, bado najifunza. Mimi nmeingia kwenye spea na accesories za magar. So hapo ni 30-50...mahesab yangu binafs niliyofanya kwa hiki changu yamekuja 40%