Faida iwe asilimia ngapi ili biashara iwe yenye mantiki?

Faida iwe asilimia ngapi ili biashara iwe yenye mantiki?

Safi sana kaka, bado najifunza. Mimi nmeingia kwenye spea na accesories za magar. So hapo ni 30-50...mahesab yangu binafs niliyofanya kwa hiki changu yamekuja 40%
Angalia faida kika bidhaa isiwe chini ya 20% Ila hakikisha unaangalia muda na mzunguko wa bidhaa huika.
 
Huu Uzi uendelee kwa faida na mafunzo kwa wengine,utasaidia sana wajasiliamali kuelewa kama wanaendesha kwa hasara ama faida biashara zao
 
Selling Price = Direct Cost + Indirect Cost + Profit margin

1. Direct Cost zipo wazi zinajulikana kilahisi
2. Indirect cost (overhead costs) hapa ndio mtihani
3. Profit margin hii inategemea na policy yako lakini pia aina ya bidhaa kama ina ushindani sokoni au la. Pia kama bidhaa yako ni parculiar sokoni utapiga pesa mpaka basi. Mambo ya demand pia huasili profit margin. Saa nyingine inabidi tu uuze kama jirani yako Kwa faida kiduchu.
Hii imekaa ki- BBA kabisa... You rock it.
 
Back
Top Bottom