Faida iwe asilimia ngapi ili biashara iwe yenye mantiki?

Faida iwe asilimia ngapi ili biashara iwe yenye mantiki?

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Wakuu,

Ujue sisi ambao tumesoma masomo ya giza na pia mara nying ni one man show. Tunachezea sana vipigo katika uwekezaji.

So siku hizi mimi binafsi nmeona biashara zangu ziwe determined na matokeo ya numbers.

Sina budi kuja kwenu ndugu zangu wa JF maana kwasasa nahisi napata faida zaidi kuwa na marafiki wa humu kuliko wale physical friends.

Yaani virtual friends mmekuwa na faida zaidi kwa namna moja ama nyingine.

So kama swal lilivyo hapo juu. Tupeane uzoefu wakuu. Najua wengne mmesomea kabisa maeneo hayo.

Tusaidiane wakuu.
 
Inategemea na aina ya biashara, na availability ya materials, storage na company of manufactures.

Mfano bidhaa ya dawa/chemist's

Jumla profit =100%
Reja reja =300%
Vinywaji, manufacture ameshapanga bei yake ya kuuza.
Nafaka=30-50%
Magari/Yard=10-30%
Etc, wadau watakuja zaidi kuelezea
 
Inategemea na aina ya biashara, na availability ya materials, storage na company of manufactures.
Mfano bidhaa ya dawa/chemist's,
Jumla profit =100%
Reja reja =300%
Vinywaji, manufacture ameshapanga bei yake ya kuuza.
Nafaka=30-50%
Magari/Yard=10-30%
Etc, wadau watakuja zaidi kuelezea
Duh kumbe magari yana faida ndogo hvo. Vipi biashara ya hardware (vifaa vya ujenzi) faida yake ni % ngapi.
 
When it come to money. Percentage doesn't matter. What if umefanya deal la Trillioni 1, ukpapewa usalimia 10%.
Na mwengine deal la bilioni 10 akapiga 50%
Sawa sawa
 
Inategemea na aina ya biashara, na availability ya materials, storage na company of manufactures.
Mfano bidhaa ya dawa/chemist's,
Jumla profit =100%
Reja reja =300%
Vinywaji, manufacture ameshapanga bei yake ya kuuza.
Nafaka=30-50%
Magari/Yard=10-30%
Etc, wadau watakuja zaidi kuelezea
Safi sana kaka, bado najifunza. Mimi nmeingia kwenye spea na accesories za magar. So hapo ni 30-50...mahesab yangu binafs niliyofanya kwa hiki changu yamekuja 40%
 
Baba angu aliniambiaga kwenye kilimo ni kuwa minimum kila shilingi irudi na 1.6 ,yani nikitumia 1M kulima basi nihakikishe nivunacho ni 1+1.6=2.6M
Noma sana hyo.nimeipenda, maana yake faida ni almost 150%.
 
Hapo mm nachotambua faida unaipata baada ya kutoa mtaji na gharama za usafirishaji ndio utajua una ngapi
 
Selling Price = Direct Cost + Indirect Cost + Profit margin

1. Direct Cost zipo wazi zinajulikana kilahisi
2. Indirect cost (overhead costs) hapa ndio mtihani
3. Profit margin hii inategemea na policy yako lakini pia aina ya bidhaa kama ina ushindani sokoni au la. Pia kama bidhaa yako ni parculiar sokoni utapiga pesa mpaka basi. Mambo ya demand pia huasili profit margin. Saa nyingine inabidi tu uuze kama jirani yako Kwa faida kiduchu.
 
Sawa bro ushimeni. Sasa tufanye time ni constant, yaani biashara ina mzunguko wa kawaida tu. Hiyo capital faida angalau iwe asilimia ngap ya uwekezaj ili hyo biashara iwe na mantiki, yaan nzuri.
10%---16.5% ya bei ya kununulia.. Na mzunguko pambana uwe mkubwa kwa aina ya biashara na sehem uliopo. Itakupa faida kwa kutenga kodi pembeni + matumiz ya kila siku + na mwisho wa mwezi kulipa mfanyakaz au kujilipa(kama hauwekezi tena).
 
Mm ninavyo elewa kwenye biashara ambayo uwekezaji wake ni pesa profit yake inabidi iwe 10% to 20% mfano visoda vidogo tunanunua kwa 5000 na tunaviuza vyote@ 500*12 =6000
So (6000-5000)/5000*100%= 20% ukizidi juu ya hapa Basi ujue utaiuza kwa mdaa mrefu mno. Na Kama ukiuz a kwa haraka Basi ujue hiyo ni super profit I mean uhujumi uchumi. Na biashara ambayo uwekezaji wake ni vitu zingine mbali na pesa mfano akili, ujuzi hizo sidhani kama kuna limition
 
Back
Top Bottom