Faida iwe asilimia ngapi ili biashara iwe yenye mantiki?

Safi sana kaka, bado najifunza. Mimi nmeingia kwenye spea na accesories za magar. So hapo ni 30-50...mahesab yangu binafs niliyofanya kwa hiki changu yamekuja 40%
Angalia faida kika bidhaa isiwe chini ya 20% Ila hakikisha unaangalia muda na mzunguko wa bidhaa huika.
 
Huu Uzi uendelee kwa faida na mafunzo kwa wengine,utasaidia sana wajasiliamali kuelewa kama wanaendesha kwa hasara ama faida biashara zao
 
Hii imekaa ki- BBA kabisa... You rock it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…