[emoji22]Mikopo inaumiza, achana nayo tuHawa kenge wanatudhulumu sana wafanyakazi wa serikali kupitia riba zao za juu. Halafu wanakuja hadaharani kujisifia kupata faida iliyojaa dhuluma.
Na kwa bahati mbaya hatutaacha kukopa. Maana hakuna mwanadamu asiyependa kuishi maisha mazuri kama wengine.
Nimebahatika kusoma ripoti ya mabenki ya CRDB na NMB kuwa mwaka huu wamepata faida ya zaidi ya 200bn/- kila mmoja.
Itakuwa ni vema sana kama sehemu ya faida hiyo ielekezwe kwenye gawio la wana hisa. Ninaishauri CRDB itoe gawio linaloendana na faida na iige NMB inayotoa gawio inayoridhisha.
Anayefaidi mikipo ni mfanyabiashara tu kwa kuwa mara nyingi mikopo yao haizidi miaka 3 hivyo riba inashuka,ukishachukua mkopo wa miaka 5.kwenda juu hapo mnagawana nusu kwa nusu na benki,ndio maana wanapata auper normal profitHawa kenge wanatudhulumu sana wafanyakazi wa serikali kupitia riba zao za juu. Halafu wanakuja hadharani kujisifia kupata faida iliyojaa dhuluma.
Na kwa bahati mbaya hatutaacha kukopa. Maana hakuna mwanadamu asiyependa kuishi maisha mazuri kama wengine.