Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
huo ufugaji unaufanyia mkoa ganiSoma comment yangu hapo juu kuhusu kienyeji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo ufugaji unaufanyia mkoa ganiSoma comment yangu hapo juu kuhusu kienyeji.
Hata Mimi nilianza kufuga manyoya ya kuku ...Sasa nna kuku 2000eneo ukubwa wa heka sita uuzaji hadi miez 5 mana ni mbegu ambayo inakuwa kwa kasi, ufugaj wangu huwa hv majike yakitaga nakusanya mayai nayaficha mpaka pale baadh yao waanze kuhatami aka kulalia ngojen nakuja kuwapa mbinu ya ufugaj wa muda mfup
ni mjini au wilayani
Kinachokubeba ni uuzaji wa vifaranga na si nyama wala mayai...na fauda ya vifaranga ni swala la muda tu pia iyo biashara itakufa..unaless uwe unaifanya kwa udogo sana.Nafuga kienyeji, ukitoa running costs zote per month sikosi Tshs 1,200,000 kama faida.
Binafsi nauza mayai Tshs 15,000/trei na kwa siku nauza mpaka trey 3 kwa wastan jumla kama 45,000/day. Natotolesha vifaranga around 600 kwa mwezi na kila kifaranga nauza Tshs 2,000 hapo ni wastani wa 1 mpaka 1.2 m.
Ukitoa gharama za chakula, dawa (vitamins, chanjo etc) kwa mwezi sikosi 1.2 mpaka 1.3 m kama faida.
Soko la vifaranga pamoja na mayai ya kienyeji liko wazi. Ni kuweka mkakati pamoja na kusimamia mwenyewe kama unaweza.
Nafuga sasso, aisee nakumbana na changamoto ya vifo na magonjwa ya ajabu ajabu tuNlikua nafuga kuku chotara aina ya sasso lakini bei sokoni inayumbishwa na wafugaji baadhi, hivyo hakuna stability. Na kuku wako prone na magonjwa hata kama usimamizi ni mzuri
Ukicheza tu inapungua na kupungua.....wauza kuku wanazingua sana wafugaji....bei chakula ile kulee sikia tuuuu......Wadau, kuna mfugaji wa kuku hapa Dar ananiambia kila mzunguko wa kuku 1000, anapata faida ya Tsh Laki 7. Hapo soko likiwa zuri sana. Jamani hicho kipato ukiangalia mtaji wa Banda nk. Je kuna njia ya kuongeza faida kwa kupunguza Gharama?
sio kweli sema huna mbinu,, ukitaka wa kulipe nakupa mbinu