Nahisi unakosea sana mkuu, hv huko ulaya wanaishi misutuni ? Hv unajua mwanadamu ili aweze kuishi anahitaji vitu vitatu na makazi ni sehemu ya hayo mahitaji?
Huwezi kuwaza kwenda sayari nyingine wakati hata sehemu ya kulala huna unakuwa unavuka step ,siku nyingine kabla ya kukomenti kwenye nyuzi za wenzako ufikirishe ubongo wako.
Asante mkuu kwa swali lako. Kwa kuanza na majibu ya swali lako ningeomba kwanza wewe mwenyewe ujitathmini.
Kwa vile natambua kuwa makazi ni kitu muhinu sana katika maisha ya binadam, sina budi kukubaliana na wewe katika hili, lakini tukiangalia nyuma ni mda gani sasa binadam amekwisha ondokana na maisha ya kuishi kwenye mapango kama wanyama wengine wa msituni?
Nafikiri umesoma katika historia kuwa ma pyramids huko GIZA, Misri yalijengwa na watu weusi. Kama kiingereza kimepanda na hujui hilo basi nakuomba sikiliza hii documentry, nafikir itakupanua maarifa ya kujua wapi unatoka na wapi ulipo na kwa nini?
Mpaka hivi sasa inaweza ikafikia miaka 7,000 hivi toka yaanze kujengwa. Miaka elf tano BC na miaka elfu mbili AC. Haya magofu yote unayo yaona ulimwenguni kama huko Ugiriki na Italia ni copies tu za majengo ambayo ma Nigger (mababu) zetu walikwisha weka msingi wake huko GIZA.
Kwa kutambua kuwa ni miaka karibu elfu saba sasa toka kujengwa kwa hayo ma Pyramids huko GIZA, ndiyo maana inanipa mshangao mkubwa wa kuona vijana kama wewe leo bado mna-discuss mambo ya nyumba kana kwamba nyumba ni kitu cha maana sana cha kuwapotezea mda wakati challenges za sasa ni ajira.
Nilitegemea vijana kama nyie hivi sasa mgekuwa mnadiscuss new technologies za mitandao (Telecommunications), utengenezaji wa drones ili zikatumika kwenye transport, njia mbadala za kupambana na hali ya mazingira, technologies mbali mbali za kuchimba na kubadili rasilimali zetu zikatumika katika kutengeneza vifaa na vitu mbali mbali ambavyo vingetuwezesha sisi kuinua uchumi wetu na hivyo kuboresha maisha yetu kwa kuwa na ajira za kutosha, lakini inasikitisha kuona vijana wenye bongo fresh jama nyinyi mmedumaa bado katika ufahari wa magofu ya majengo kwenye karne hii ya 21. Kama sio kudumaa kwa akili na ukosefu wa maarifa utauita nini huo? Shame on you!
Na ndiyo maana kazi yenu kutwa kucha kulaumu serikali tu. Serikali haijafanya hiki, serikali haijafanya kile na kusifu maendeleo ya wenzenu, kana kwamba hao nao maendeleo yao yameshushwa na mungu kutoka mbinguni. Alafu ndugu zangu mkiambiwa kuwa nyie mmedumaa kiakiri mnakasirika na kujifanya kama mnaakili nyingii wakati kumbe ni mabogus tu kichwani.
Wewe mwenyewe kwa jeuri yako unathubutu kunitunia mimi kifua eti "Huwezi kuwaza kwenda sayari nyingine wakati hata sehemu ya kulala huna unakuwa unavuka step ,siku nyingine kabla ya kukomenti kwenye nyuzi za wenzako ufikirishe ubongo wako." Swali langu, kwani wewe umeambiwa kuwa ulizaliwa misituni? Si umezaliwa kwenye nyumba au?
Hivi wewe na akili yako yote hiyo unafikiri hao role models wenu kama wakina Bill Gates na wengineo wakati wanatafuta mbinu za kupata pesa na kuanzisha makampuni, walikuwa wanawaza kujenga nyumba?
No kijana, walikuwa wanawaza wazitumieje technolojia zilizopo ili nao waweze kutoboa. Na ndiyo maana unasikia walikuwa wanajichimbia kwenye magarage ya nyumba za wazazi wao kufanya utafiti wao. Hawakuwa na mda wa kushangaa majengo, hicho kwao kilikuwa ni kitu cha kawaida.
Wewe toka tupate Uhuru unaweza ukawa kijana wa Generation ya tatu au ya nne na toka hapo wenzetu wazungu wameenda mbali sana. Wachina na wa asia nao toka kufa kwa Soviet Union mwishoni mwa miaka ya 80 wamepiga hatua kubwa sana, lakini wewe na hao wenzako bado mmedumaa na paa za nyumba, hivi hujioni kama wewe na hao wenzako ni watu mfu? Huoni kwa mwenendo wenu huo future yenu imekufa? Hamwezi waza vitu tena vya kuwaletea maendeleo na wala hamjijengei msingi mzuri wa maendeleo ya baadae. Nyinyi, naweza sema, ndiyo kwanza mnatoka kwenye hatua ya stone age kwenda kwenye bronze era kwenye karne ya 21. Huo ni ukilitimba wa akili brother!