Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

Tatizo wanaume mnataka vyote.

Mnataka mwanamke awe msomi na mfanyakazi ila arudi nyumbani saa tisa mchana akupikie akubebe akupeleke bafuni akuogeshe. Of which bora aache kazi ili akuhudumie wewe ndo tunarudi kule kule.

Unataka mke msomi ila unataka ukiamka una mawazo ya kubet pesa ambayo mmepanga mkanunue kiwanja akujibu ndio mkuu yani asiku challenge.

Unataka mke msomi mwenye akili ila ukirudi saa tisa usiku kutoka kwa mahawara akupokee kwa bashasha na kukukumbatia asiulize kwasababu wewe ni kichwa. Na hata ukimletea HIV ndani akufurahie na kukupigia makofi.

Unataka mwanamke msomi na mfanyakazi ila mkinunua kiwanja unataka liwe na jina lako tu ili hata siku ukimwacha asiwe na pakukimbilia. Inshort unamkata miguu huku unataka aendelee kutembea.

Wanaume amueni moja. Oeni mwanamke wa kijijini asie na exposure. Huyu hata ukirudi asubuhi na ukamnasa makofi atakuitikia ndio baba. Hata ukienda ukazaa nje kama kupe yeye atawapokea na kuwalea wanao. Huyu hata hutopata stress za kumwambia acha kazi lea wanao. Yani utamfanya unachotaka. Huyu hata umzabe mabao bila
Sababu atainamisha kichwa china kama mbuzi wa Qibla.

Kikubwa ndo hivyo. Msomi lazima muendane kimawazo na kimipango. Unakuta mkeo mnachanga nae kununua kiwanja. We unanunua unapeleka mahawara kwenda kukiona na unasema asikuhoji hakuheshimu. (Hii naongea na evidence nnazo zimemtokea ndugu yangu) hawara anataka kuhamia kwenye nyumba waliojenga mke na mume just because mume alimpeleka akamwambia hapa ni kwako.

So hao mnaotaka kuwafanyia mnachotaka mbona wapo wengi sana. Sasa mnataka complete package alafu nyie wenyewe bado mnaishi kizamani. Mtafika mbinguni mmechoka sana
 
Waache watu
 
Saivi hakuna ndoa kunakulinda status tu kwenye jamii kwa wale ma'conformist, uhalisia wamaisha umebadilika ila sheria za ndoa ni zile zile za kizamani,
Freemind hawana muda wa kuumiza kichwa na mambo uloyaeleza hapo juu sa stress zote hizo za nini kwani ni lazima. Zingekuwa za mkataba hapo sawa.
#Kijana kataa ndoa
 
Ewaaa.! Kikubwa msioe sio unamlaghai mtoto wa mtu unamuweka ndani unamwambia acha kazi wakati ulimkuta na kazi yake. Msioe. Simple.! Sio mnataka mambo makubwa wakati mna inferiority complex
 
Back
Top Bottom