Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku

Mi mwenyewe nimejikuta nimependa safari za usiku, japo kabla nilikua naziogopa. Juzi nimetoka Dsm kwenda Dodoma. Nilipoingia tu kwenye gari niliuchapa usingizi kituo cha kwanza nashtuka Moro. Nikalala tena kuja kushtuka saa 12 nipo Dodoma.
 
Nahisi hapo penye jiwe ni Mwanza, kama vile ni Nyashishi au Kishiri, ila sina uhakika.
 
😁

Ukisafiri usiku ubahatike ukae na opposite agemate hata asipoongea
Kuna kibinti kilikua kinaenda Singapore sijui Greece nikajikuta niko nacho siti mbanano.
Aisee usiku wa safari ulikua mtamu sana.
Nilikua nakibandua tu humo njiani km nimeoa.
Watu wote wamelala
 
Mi mwenyewe nimejikuta nimependa safari za usiku, japo kabla nilikua naziogopa. Juzi nimetoka Dsm kwenda Dodoma. Nilipoingia tu kwenye gari niliuchapa usingizi kituo cha kwanza nashtuka Moro. Nikalala tena kuja kushtuka saa 12 nipo Dodoma.
Ulikuwa umekunywa nini! Mimi nilikuwa nimekunywa nikalala kabisa siti ya nyuma kuanzia Manyoni hadi Mbezi.
 
Tatizo madereva kusinzia kwenye sterling

Hii ndio risk kubwa mabasi ya usiku
Madereva wa usiku ujue baada ya kufika wanalala mchana, kama ambavyo wewe msafiri wa usiku ukifika home lazima ulale. Kumbuka binadamu anaweza kutokula kwa siku mbili (akashindia maji) bila shida yoyote lakini hawezi kukaa siku 2 bila kulala...
 
Binafsi hata iwaje siwezi kuqnza safari usiku. Yaani nishuke kitonga au kule nyong'oro usiku kwa ajili ya nini hasa. Risk ni nyingi sana kutembea usiku
Usipende kujiapiza, dunia inazunguka hii na kuna siku utajikuta penda usipende umesafiri usiku, iwe ni kwa matatizo, kikazi au kibiashara.
 
Kwa wachepukaji wao ni rahisi sana kuexcuse na kusafiri kwa kutumia usafiri wa usiku.. (@Mshana Jr ) atanisaidia hapa na kutongozana kwenye gari inakua rahisi kwa kuwa kuna factor favourable (usingizi, kuchoka etc) na uko next na mrembo
Hii sio faida ni hasara😅 mtumiaji fursa anaweza kuiona ni faida ila side effects ambazo ni negative ni kubwa zaidi.
1: hilo la lodge litarudi pale pale
2: Gharama ya kumhudumia ikiwemo chakula n.k . Watu wa kukutana mara moja huwa wanatumia hela sana ke anaona ni fursa kula vizuri, me anataka kuonesha uwezo ili asikose anachotaka
3: Hati Hati kupata maradhi ,regard wamekutana usiku hawajuani
4: kwa wanaoamini ulimwengu wa kiroho hili ni dhambi hivyo hajapata faida bali hasara
 
Nilichogundua kwako mleta uzi unapenda story sana, mimi kati ya vitu na hate ni kuongea na stranger, nikiingia kwa gari abiria next seat namsalimia basi inatosha.
Upo km mie yaan, nikiweka [emoji442]zangu nasikiliza [emoji445] sitaki habari na mtu kabisaa.
 
Ungekaa siti na mwamba alale akukoromee
 
Kuna kibinti kilikua kinaenda Singapore sijui Greece nikajikuta niko nacho siti mbanano.
Aisee usiku wa safari ulikua mtamu sana.
Nilikua nakibandua tu humo njiani km nimeoa.
Watu wote wamelala
Ulipiga peku peku? Hatari sana
Nakukumbuka miaka ile Moshi tumefunga chuo, niko stendi narudi home niliulizwa kama nataka niongeze nauli ili wanikatie tiketi ya kukaa na demu bomba, kumbe haitokei kibahati inapangwa hii
serious??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…