Mabalaa mengine ya safarini kama ajali n.k. mnayatafuta wenyewe mnapokuwa safarini kwa kufanya kufuru kama hizi.Kuna kibinti kilikua kinaenda Singapore sijui Greece nikajikuta niko nacho siti mbanano.
Aisee usiku wa safari ulikua mtamu sana.
Nilikua nakibandua tu humo njiani km nimeoa.
Watu wote wamelala
Utakosa fursa ndugu yanguUpo km mie yaan, nikiweka [emoji442]zangu nasikiliza [emoji445] sitaki habari na mtu kabisaa.
Vipi mkojo?Hizo safari za usiku ukitaka uzifaidi we jizime data tu,piga konyagi yako moja ukikalia siti yako unakata moto kuanzia mwanzo to mwisho wa safari.
Balaa zipo tu,watu hadi vichaa tushapita nao na tunadunda tu itakua hako kabinti.Mabalaa mengine ya safarini kama ajali n.k. mnayatafuta wenyewe mnapokuwa safarini kwa kufanya kufuru kama hizi.
Kalikua kadogo so kanapanda tu juu kanakatika kanakojoa kanalala,safari inaendelea mpk tunafika Qatar kimekojoa km mara 10 hivi.Ulipiga peku peku? Hatari sana
Kwenye ndege au gariKalikua kadogo so kanapanda tu juu kanakatika kanakojoa kanalala,safari inaendelea mpk tunafika Qatar kimekojoa km mara 10 hivi.
Qatar utaenda na gari mkuu,kwenye pipa tumeondoka bongo sa tatu usiku.Kwenye ndege au gari
Kuuliza si ujinga🤣🤣🤣
Konyagi hukojoi sana,labda upige biaVipi mkojo?
Mimi kama mdau mpya wa safari za usiku, acha nizipende tu regardless ya risks zake.Mi mwenyewe nimejikuta nimependa safari za usiku, japo kabla nilikua naziogopa. Juzi nimetoka Dsm kwenda Dodoma. Nilipoingia tu kwenye gari niliuchapa usingizi kituo cha kwanza nashtuka Moro. Nikalala tena kuja kushtuka saa 12 nipo Dodoma.
Kwamba kila siti ya mchuchu wana inote na kuiweka wazi siti ya jirani ili waje waiuze kwa bei ya juu[emoji2][emoji2][emoji2]Nakukumbuka miaka ile Moshi tumefunga chuo, niko stendi narudi home niliulizwa kama nataka niongeze nauli ili wanikatie tiketi ya kukaa na demu bomba, kumbe haitokei kibahati inapangwa hii
Ajali ya Arusha haikuwa Usiku.Binafsi hata iwaje siwezi kuqnza safari usiku. Yaani nishuke kitonga au kule nyong'oro usiku kwa ajili ya nini hasa. Risk ni nyingi sana kutembea usiku
We jamaa unataka kusemaje?Ajali ya Arusha haikuwa Usiku.
Hapo inakuwa kavu kavu?Sitasahau usiku ule..
Nilipata romance hatari
Nami nikajitoa ufahamu
Nikamfanyia fujo binti wa watu ..
Nilimwaga nyingi asee!
Hapa inapangwa ipigwe vizuri
Safi mnoooMimi kama mdau mpya wa safari za usiku, acha nizipende tu regardless ya risks zake.
Ukitoka Dom saa 4 au 5 usiku unafika Dar asubuhi saa 1 na kufanya mishe zako then usiku wa saa 4 au 5 unageza zako kiroho safi tu
FixKalikua kadogo so kanapanda tu juu kanakatika kanakojoa kanalala,safari inaendelea mpk tunafika Qatar kimekojoa km mara 10 hivi.
Igweee!
Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs.
Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience.
Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya interesting facts nishee na wewe mpenz msomaji.
Faida za mabus ya usiku
1. Unasave time ya kazi, kama uko busy saba na kazi za mchana unaweza safiri na mchana ukawa unaendelea na kazi zako. Au kama wewe ni mtori wa kazini (waajiriwa) hapo ndiyo umefika.
2. Unasave usumbufu wa kulala lodge, yani usiku balada ya kulalia kitanda unalala kwa kiti (inahitaji moyo sana🤔), maana unalala next to a stranger, na ukute anakoroma, au anajamber jamber dah😆
3. Wasafiri wa usiku siyo watu wa story, kila mtu kivyake; yani hakuna kusemeshana au kupiga story kama zile za mchana unatamani mtu asishuke aendelee kusema nawe. Huku kwa wapenda utulivu baasi umefika, kuna ‘kiustaarabu flani hivi’.
4. Kama wewe ni muoga wa barabara, kuona mabonde na milima baasi usiku unasafiri muruwaa bila kuona hatari za nje.
5. Wauzaji wa vitu kusumbua madirishani ni wachache sana, hupati usumbufu.
6. Unsave nauli ya kufika kituo cha stand, kunakua mchana au usiku ambao siyo mkali wakati wa kutoka home.
7. Kwa wachepukaji wao ni rahisi sana kuexcuse na kusafiri kwa kutumia usafiri wa usiku.. (Mshana Jr ) atanisaidia hapa na kutongozana kwenye gari inakua rahisi kwa kuwa kuna factor favourable (usingizi, kuchoka etc) na uko next na mrembo😀😀
HASARA
1. Kupoteza vifaa ni rahisi kwani wizi na udokozi unakua rahisi sana
2. Gari ikiharibika njiani ndiyo itakuwa halelujah
3. Kufika umechoka na kuhitaji kulala tena ili kuanza next day vzr
4. Mauza uza usiku njiani, madereva wanajua hii; usiku kuna vimbwanga vingi zaidi ya mchana
Huu ni uzoefu wangu kwa ufupi.