Faida na hasara za kutumia gesi kwenye gari lilitongenezwa kutumia petrol

Mwamba1961

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
626
Reaction score
409
Habari wataalam,

Naomba nijue faida na hasara kwa wale waliotumia gesi kama petrol / diesel kwenye magari au bajaji.

natanguliza shukrani zenu kwangu.

Karibuni wataalam.

Yaani Engineer wa Japan atengeneze gari la Petroli afu aje kijana wa DIT aniwekee gesi asilia. No way.

Nataka gari ya gesi itengenezwe uko uko kwamba itatumia gesi ikija na petroli naiacha ivo ivo.
 
Yaani Engineer wa Japan atengeneze gari la Petroli afu aje kijana wa DIT aniwekee gesi asilia. No way.

Nataka gari ya gesi itengenezwe uko uko kwamba itatumia gesi ikija na petroli naiacha ivo ivo.
🙄🙄
kaka una uzoefu na magari ya gesi ??

nataka nijue hasara na faida ya kutumia gesi .....

karibu
 
Asante mzee baba Odense ila faida yake uliona kulinganisha na matumizi ya petrol / Diesel ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…