Faida na hasara za kutumia gesi kwenye gari lilitongenezwa kutumia petrol

Awali ya yoyote, hakuna sheria, katazo wala muongozo kwamba ukiwa unatengeneza kitu shurti ukitumie,
hiyo ni mosi. Pili, unadhani kumjua au kumtaja huyo Prof. ndio kukubalika kwa hoja yako isiyokuwa ya ukweli?

Nadiriki kusema kuwa huna taarifa sahihi na kama huyu uliyemtaja yupo pale unadhani anajua ya pale pengine kwa faida yako ungemdodosa ili uwe na uhakika kuliko kupotosha.

Kwanza Jua tu, sikukuuliza kwa bahati mbaya iwapo unajua wamejifunzia wapi hao uliowaita 'Vijana wa DIT'.
Ukakurupuka tu na kusema 'hapahapa Dar'. SIO KWELI.
Ukweli ni huu;
Ilisafirishwa na-serikali, timu ya watu ambao tayari walikuwa ni Mafundi kutoka DIT KWENDA KUJIFUNZA SWALA HILO TU HUKOOO JAPAN.

Hawa watu wakasoma, wakamaliza mwishowe wakafanya mitihani.
Haikuishia hapo, ni kwa wale waliofaulu vizuri tu ndio waliodhinishwa kuwa watafanya hiyo kazi na hayo ni maoni kutoka Japan (Kwa wenye Mfumo wao)
Nikushike Sikio kidogo, wapo kati yao walionda huko Japan wakasoma na bado hawakufanikiwa kuidhinishwa kama MAFUNDI. Hii sijui kwako itakupa picha gani lakini kwa mwenye kujielewa ni kuwa hii sio ishu ya kipuuzi.

ANGALIZO:
Mimi si msemaji wala sipo ndani huko lakini angalu najua hilo na sizushi.
Hivyo ukitaka chukua usipotaka acha.

Kingine;
Kuna vitu vinafundishwa pale DIT na baadhi ya sehemu nyingine za mafunzo ya Ufundi stadi.
Kimuonekano kwa asiejua Dunia ilipo na inapokwenda ataona kama havina mpango.
Lakini sasa, thamani yake 'Huko Duniani' kwa anaejua tukilinganisha mapato yake baadae ama huko 'mbelembele' kibongobongo,Hata mtu mwenye Msc. anaefanya Kazi hapa Bongo ni kama anapoteza muda.

Nimechomekea kidogo tu hapo lakini uwanda wa Somo hili ni mpana mno.
Kuna siku nikipata muda nitafungukakadiri ya ninavyojua.

Nawasilisha.
Ulichoandika nmerudia zaid ya mara 5 lakini nmetoka kapa
 
Asante Sana Prof
 
Naona hizi Lorry za Dangote cement wamefunga hizi mitungi za gas ,
 
Naomba jibu hapa
Kwanza mfumo wa mafuta una nozzle zake ambazo unapotumia mafuta ndio zinatumika lakini mfumo wa CNG unakuja na nozzle zake pia so wakati unatumia CNG kwenye gari basi ni nozzle za cng tu ndio zinatumika kwa muda huo na zile za mafuta zinakuwa hazifanyi kazi kwa wakti huo. So hapo hakuna nozzle za mafuta kuharibika. Lakini pia Changamoto wanzosema watu kuwa gari zinaharibika kwa kutumia CNG wanaweza wakawa kweli au sio kweli kwasababu zifuatazo kwanza kabla ya kufunga mfumo wa CNG unatakiwa gari lako likaguliwe kuwa lipo sawa gearbox fresh, engine ipo poa na inafanya kazi fresh then ikigundulika ipo poa ndio mfumo unafungwa sasa inatokea kuna watu gari zao zina matatizo bila wao kufahamu au wanafahamu sasa unapokuja kufunga mfumo halafu ikatokea shida ndio wanailink hapo kuwa kutumia CNG kuna haribu gari. Kingine unapotumia CNG maana yake unatumia clean energy ambayo ikichomwa inachomwa yote na kupelekea engine oil kutokuchafuka sasa wale wa kupima oil kwa macho ndio hapo wanaingia mkenge na kupitiliza kufanya service wakidhani oil bado ina ubora kwasababu kuwa haionyesho kuwa na uchafu aka weusi.
 
Haichanganyi haraka, inakuwa nzito sana tumeitoa majuzi. Halafu kufunga ni gharama M 2. Ukitaka ya gesi agiza ambayo tayari imeundwa hivyo tangu kiwandani sio ya kubadilisha mfumo huku. Pale Tazara kujaza gesi foleni yake balaa
Na gesi ikiisha njiani utajaza na puto?
 
Hili jibu lako nina mashaka nalo,kuchafuka kwa engine oil kuna uhusiano gani na kuungua kwa gesi au petroli,kinachochafua engine oil ni msuguano wa vyuma kwenye engine na sio hicho unachoongelea hapo juu,labda kama mimi sijakuelewa vizuri...
 
Mafuta sio bei sema TOZO nyingi sana,just imagine mafuta ingekuwa tu hata tsh 2000/per litre unafikiri watu wangehangaika kuweka mamitungi kwenye buti?[emoji23]
 
Haichanganyi haraka, inakuwa nzito sana tumeitoa majuzi. Halafu kufunga ni gharama M 2. Ukitaka ya gesi agiza ambayo tayari imeundwa hivyo tangu kiwandani sio ya kubadilisha mfumo huku. Pale Tazara kujaza gesi foleni yake balaa
Foleni yake kila nikipita si chini ya magari 10
 
Awali ya yoyote, hakuna sheria, katazo wala muongozo kwamba ukiwa unatengeneza kitu shurti ukitumie,
hiyo ni mosi. Pili, unadhani kumjua au kumtaja huyo Prof. ndio kukubalika kwa hoja yako isiyokuwa ya ukweli?

Nadiriki kusema kuwa huna taarifa sahihi na kama huyu uliyemtaja yupo pale unadhani anajua ya pale pengine kwa faida yako ungemdodosa ili uwe na uhakika kuliko kupotosha.

Kwanza Jua tu, sikukuuliza kwa bahati mbaya iwapo unajua wamejifunzia wapi hao uliowaita 'Vijana wa DIT'.
Ukakurupuka tu na kusema 'hapahapa Dar'. SIO KWELI.
Ukweli ni huu;
Ilisafirishwa na-serikali, timu ya watu ambao tayari walikuwa ni Mafundi kutoka DIT KWENDA KUJIFUNZA SWALA HILO TU HUKOOO JAPAN.

Hawa watu wakasoma, wakamaliza mwishowe wakafanya mitihani.
Haikuishia hapo, ni kwa wale waliofaulu vizuri tu ndio waliodhinishwa kuwa watafanya hiyo kazi na hayo ni maoni kutoka Japan (Kwa wenye Mfumo wao)
Nikushike Sikio kidogo, wapo kati yao walionda huko Japan wakasoma na bado hawakufanikiwa kuidhinishwa kama MAFUNDI. Hii sijui kwako itakupa picha gani lakini kwa mwenye kujielewa ni kuwa hii sio ishu ya kipuuzi.

ANGALIZO:
Mimi si msemaji wala sipo ndani huko lakini angalu najua hilo na sizushi.
Hivyo ukitaka chukua usipotaka acha.

Kingine;
Kuna vitu vinafundishwa pale DIT na baadhi ya sehemu nyingine za mafunzo ya Ufundi stadi.
Kimuonekano kwa asiejua Dunia ilipo na inapokwenda ataona kama havina mpango.
Lakini sasa, thamani yake 'Huko Duniani' kwa anaejua tukilinganisha mapato yake baadae ama huko 'mbelembele' kibongobongo,Hata mtu mwenye Msc. anaefanya Kazi hapa Bongo ni kama anapoteza muda.

Nimechomekea kidogo tu hapo lakini uwanda wa Somo hili ni mpana mno.
Kuna siku nikipata muda nitafungukakadiri ya ninavyojua.

Nawasilisha.
Kuongeza mfumo wa gesi katika gari siyo Rocket Science, kwanini hao waliopata mafunzo Japan wangesambazwa kwenye vyuo vya VETA kwenye miji mikubwa wawafundishe vijana ili na huku mikoani tupate kufungiwa mifumo hiyo ya gas.
Tatizo serikali inalifanya hili zoezi kwa mwendo wa konokono sababu Petro Stations nyingi zina mikono ya watu wanene.
 
Hua nasikia gesi haipendi mtikisiko, Vp kwa rough road mkuu?
 
Mafuta sio bei sema TOZO nyingi sana,just imagine mafuta ingekuwa tu hata tsh 2000/per litre unafikiri watu wangehangaika kuweka mamitungi kwenye buti?[emoji23]
Petrol ya 2000 kwa selikali ipi, hii hii ya wapiga deal-sahau bei itazidi kupanda mpaka tukome. Gas ipo nchini lakini bei ya gas ya kupikia utafikili inatoka uarabuni! Nchi zinazochimba mafuta bei huwa rafiki kwa raia.
 
WEKA WI-FI, WEKA WI-FI, HUU SIO MDA TENA WA KUWAZA KUISHIWA NA DATA, ROUTER NI BEI NDOGO TU!

⚫KWENYE BISASHARA YAKO WEKA WI-FI

⚫KWENYE SHULE WEKA WI-FI

⚫KANISANI WEKA WI-FI

⚫KAZINI WEKA WI-FI
⚫KWENYE KAMPUNI WEKA WI-FI

⚫NYUMBANI KWAKO WEWE NA FAMILIA YAKO WEKA WI-FI

⚫CHUONI WEKA WI-FI

⚫UNA SECURITY CAMERA FUNGA WI-FI

⚫SEHEM ZINGINE AMBAZO SIJAZITAJA WEKA WI-FI

TUMIA DATA UNLIMITED, YANI BILA KUWAZA KUA GB ZITAISHA?

NJOO NIKUPE ROUTER ZENYE UWEZO MKUBWA TECNOLOJIA YA 5G SPEED HADI 200mbps, NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO !

MKOA WOWOTE ULIPO HUDUMA INAKUFIKIA NDANI YA MDA MFUPI

GHARAMA NI NAFUU SANA, ( pia laini pekeyake bila router nakuwezeshea bando unlimited kwa bei poa )
NICHEKI: 0717700921
 
Back
Top Bottom