Faida na hasara za kutumia mafundi maiko kwenye ujenzi

Faida na hasara za kutumia mafundi maiko kwenye ujenzi

Ilikuwa Bahati mbaya Fundi Maiko walikosea!
Walizingua nilimleta injinia mmoja akapima ule mwiniko wa paa ulikua mkubwa na usio na uwiano mzuri kwa sasababu bila kufunga gata maji ya paa yalikua yanamwagika ukutani kabisa 🤔
 
Ma Engineer mimi siwezi fanya nao kao kwanza wao wanajionaga ndo wajumvi wa kila kitu. injinia hata ukimleta akutengenezee zizi tu basi atakuomba uwe na tape nk
Ni kweli wana ujuzi, sio kwamba wanajifanya. By the way Engineer anasimamia kazi (quality na quantity), anayofanya fundi, wakati fundi maiko anajisimamia kienyeji
 
Ni kweli wana ujuzi, sio kwamba wanajifanya. By the way Engineer anasimamia kazi (quality na quantity), anayofanya fundi, wakati fundi maiko anajisimamia kienyeji
Kabisa mkuu lkn Kuna mafundi maiko ni zaidi ya engineer ni vile hawana mavyeti tu. Kuna watu wanakipaji(kipawa) yaani akikuambia kitu ni mle mle hata umletee injinia wawapi atapita mle mle. Kuna mjomba wangu Huwa anatembea na engineer Kila sehemu kumpa nondo na huyo injinia kashakuwa na jina kubwa lkn kiuhalisia anapitia Kwa anko.
 
Hasara yao ni kwenye kukupiga,mahali pa bati 150 atakwambia bati 200,hizo hamsini zitakazozidi za kwake,labda kama utaamua kuacha shughuli zako ushinde naye site mpaka amalize......
kwenye kupiga ni hulka ya mtu alivyo. yoyote tu anaweza kukupiga tena huyo mvaa reflekta na gambuti ndo atakupiga pakubwa zaidi maana ni kama unalipia gharama za izo reflekta na gambuti alizovaa yeye🤣

tabia zingine ni za mtu mweusi tu alivyo bila kujali ana shule au la. weusi tunajuana.

kuna mmoja tulimuita hom kazi ya kawaida tu eti anadai eti leba tu ni milioni 3 tukachoka😓 tukamuacha achape lapa
 
Design hio na Nyumb yenyew ni hii.
Mpak hapo tulipofikia nilitumia engineer watatu na mafundi maiko hata kumi nazan.
Nilifanikiw sabb engineer nilisoma nae so namuwez San Yan kwny kumlipa haijaniumiz San Ila kuna baadhi ya vitu nilikuw navipinga San sbb Mie mwenyew Nina uzoefu kidog. Shimo la foundation 150m adi tulivurugan San site Mim 150 nikakataa sabb ni Gorofa moja Tu shimo lote la nn. Na vyengn Kam mfano kwny ratio pia resho zake Kali kiseng hat majengo ya serikal hawawek izo pia nilipinga San Tu ye anatoa maelekez kw mafund na mim pia nawap maelekez. Kam sio ivyo ningeumia San.
Mafund maiko Nd natimua san hat sikumbelezi kuna fundi Mbao mmoj aliniibia Mbao 3 nikajua nikamtimua na uzuri. Mie sijauza kaz kw MTU mmoja Yani natoa kw penye fundi Chuma naelewan nae kwny fundi Mbao naelewan nae kwny fundi tofali naelewan nae. Fundi umeme naelewan nae unakuta site heshima na adabu hakun WA kumvimbia mwnzie na ukiwa nyum ya muda nakuchimbia mkwara vzr. View attachment 3165274View attachment 3165275
IMG_20240604_162023_2.jpg
 
Design hio na Nyumb yenyew ni hii.
Mpak hapo tulipofikia nilitumia engineer watatu na mafundi maiko hata kumi nazan.
Nilifanikiw sabb engineer nilisoma nae so namuwez San Yan kwny kumlipa haijaniumiz San Ila kuna baadhi ya vitu nilikuw navipinga San sbb Mie mwenyew Nina uzoefu kidog. Shimo la foundation 150m adi tulivurugan San site Mim 150 nikakataa sabb ni Gorofa moja Tu shimo lote la nn. Na vyengn Kam mfano kwny ratio pia resho zake Kali kiseng hat majengo ya serikal hawawek izo pia nilipinga San Tu ye anatoa maelekez kw mafund na mim pia nawap maelekez. Kam sio ivyo ningeumia San.
Mafund maiko Nd natimua san hat sikumbelezi kuna fundi Mbao mmoj aliniibia Mbao 3 nikajua nikamtimua na uzuri. Mie sijauza kaz kw MTU mmoja Yani natoa kw penye fundi Chuma naelewan nae kwny fundi Mbao naelewan nae kwny fundi tofali naelewan nae. Fundi umeme naelewan nae unakuta site heshima na adabu hakun WA kumvimbia mwnzie na ukiwa nyum ya muda nakuchimbia mkwara vzr. View attachment 3165274View attachment 3165275View attachment 3165276
kongole sana mkulu🤝🤝

hilo shimo la foundation la mita 150 ndo standard iyo au🙆‍♂️🙆‍♂️😇😇😤??
 
kongole sana mkulu[emoji1666][emoji1666]

hilo shimo la foundation la mita 150 ndo standard iyo au[emoji2297][emoji2297][emoji56][emoji56][emoji36]??
Sio standard 75 Tu ilitosha mpk 100 sabb nyumb ni ya gorofa moja Tu. Maybe gorof 5 au 4 Nd 150 Sawa. Shimo moja walichimb 150 adi walikutan na jiwe aloo niligoma nikasem hapan ebu musichime ten Kam Ivo maan shimo lilikuw lefu balaa na haikuw na ulazim huo
 
Mita 150 kwenda chini, serious?.
 
Tuanze na faida kwanza

1. Bei rahisi, uzuri bei zao mchekea sana na kama ukiwa mbishimbishi au mtu wa kukomaa kubargain sana unapata punguzo kubwa kabisa la bei bila kujali ugumu au ukubwa wa kazi yenyewe.

2. wanatumia vizuri rasilimali zilizopo, ukitaka fundi maiko akujengee ukuta anakuambia "bosi hii kazi inahitaji tofali mia na hamsini ila hapa uwanjani kwako nimeona tayari una tofali nzima na vipande, nitatumia hizihiz kwanza hlf tutaangalia kama kuna haja ya kuongeza". mwisho wa siku unajikuta umefanya kazi kubwa kwa kutumia rasilimali ambazo pengine hata wewe ulikuwa haujui kama unazo au kama zingeweza kutumika tena. unakuwa umeokoa pesa kwa mambo mengine.

3. wako fleksibo na mazingira yaliyopo
ukimuita fundi maiko ukamwambia skiza nataka ugawe hii sebule nipate chumba kinachojitegemea. hiyo siyo shida kwa fundi maiko na wala hana haja ya kuanza kuchora kwenye makaratasi, kila kitu kitamalizwa apoapo tena ni juu kwa juu mwisho wa siku unakabidhiwa chumba chako icho apo. wako fasta hawana urasimu.

4. unahudumiwa kadiri ya uwezo wako. wako vizuri kubalance uwezo wa bosi na mahitaji ya ujenzi. unaweza kuwa na kazi kubwa lakini yeye utamsikia "bosi hapa lete mifuko mitatu tu ya simenti kazi inaisha hii". kumbe mwenzio kashakusoma wewe ni hoehae huna ela mtasumbuana bure tu mwisho umnyime kazi. apo yeye atacheza na ratio ya simenti kwa mchanga hadi kazi yako inaisha.

5. Hasara ya mafundi maiko ni ubora wa kazi zao. kazi nyingi zinakuwa za viwango vya chini kwa sababu ya matumizi madogo ya matirio zinazotakiwa kwa mfano simenti inaumiwa kwa kiasi kidogo kuliko inayotakiwa, sehem ya kuweka mbao mpya unakuta mwenzio katumia zile used au za kukodisha zilizopindapinda matokeo yake kuta zinapinda. ila kiujumla ni wana sana hawa wamba. salute kwa fundi maiko wote.
150cm ni standard kabisa hata kama ni nyumba ya ghorofa moja, hiyo ni sawa na futi 5 tu, inaonekana ni kubwa kwa sababu ipo katika sentimita

Katika hiyo 150cm, kuna nchi 2 ya blinding, 30cm ya kitako (base), ambapo mpaka hapo inakuwa imebaki kama futi 4 kutokea juu ya kitako cha nguzo

Tunachimba chini zaidi kwa sababu soil bearing capacity huongezeka kadri unavyozidi kwenda chini kwa hivyo inatafutwa soil strata ambayo atleast itakuwa na bearing capacity ya kuweza kuhimili uzito wa jengo bila kuleta shida
 
Fundi wazuri ni wale wamefanya kazi kwenye kambi za jeshi wale wanazingatia kila Detail maana kule akijaribu kazi matilio ya kurudia kazi ni juu yake . Kuna mmoja namjua na ameshapewa miradi mikubwa kuisimamia hasa tiles na ujenzi wa jengo ,plasta na zege
 
Design hio na Nyumb yenyew ni hii.
Mpak hapo tulipofikia nilitumia engineer watatu na mafundi maiko hata kumi nazan.
Nilifanikiw sabb engineer nilisoma nae so namuwez San Yan kwny kumlipa haijaniumiz San Ila kuna baadhi ya vitu nilikuw navipinga San sbb Mie mwenyew Nina uzoefu kidog. Shimo la foundation 150m adi tulivurugan San site Mim 150 nikakataa sabb ni Gorofa moja Tu shimo lote la nn. Na vyengn Kam mfano kwny ratio pia resho zake Kali kiseng hat majengo ya serikal hawawek izo pia nilipinga San Tu ye anatoa maelekez kw mafund na mim pia nawap maelekez. Kam sio ivyo ningeumia San.
Mafund maiko Nd natimua san hat sikumbelezi kuna fundi Mbao mmoj aliniibia Mbao 3 nikajua nikamtimua na uzuri. Mie sijauza kaz kw MTU mmoja Yani natoa kw penye fundi Chuma naelewan nae kwny fundi Mbao naelewan nae kwny fundi tofali naelewan nae. Fundi umeme naelewan nae unakuta site heshima na adabu hakun WA kumvimbia mwnzie na ukiwa nyum ya muda nakuchimbia mkwara vzr. View attachment 3165274View attachment 3165275View attachment 3165276
Kiongozi, au umesahau? Shimo la urefu wa mita 150??? Zaidi ya kiwanja cha mpira????
 
Back
Top Bottom