mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
- Thread starter
- #41
kwani akichanganya kinatokea nn? anakatika mikono au?Kwahiyo ulitaka Engineer achanganye udongo!? 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani akichanganya kinatokea nn? anakatika mikono au?Kwahiyo ulitaka Engineer achanganye udongo!? 😂😂
Anakatika kichwakwani akichanganya kinatokea nn? anakatika mikono au?
Ni kweli aisee,kuna engineer alinifanyia calculation za hovyo sana. Wanaweka vitu vikubwa sana kama wanajenga “handaki”Design hio na Nyumb yenyew ni hii.
Mpak hapo tulipofikia nilitumia engineer watatu na mafundi maiko hata kumi nazan.
Nilifanikiw sabb engineer nilisoma nae so namuwez San Yan kwny kumlipa haijaniumiz San Ila kuna baadhi ya vitu nilikuw navipinga San sbb Mie mwenyew Nina uzoefu kidog. Shimo la foundation 150m adi tulivurugan San site Mim 150 nikakataa sabb ni Gorofa moja Tu shimo lote la nn. Na vyengn Kam mfano kwny ratio pia resho zake Kali kiseng hat majengo ya serikal hawawek izo pia nilipinga San Tu ye anatoa maelekez kw mafund na mim pia nawap maelekez. Kam sio ivyo ningeumia San.
Mafund maiko Nd natimua san hat sikumbelezi kuna fundi Mbao mmoj aliniibia Mbao 3 nikajua nikamtimua na uzuri. Mie sijauza kaz kw MTU mmoja Yani natoa kw penye fundi Chuma naelewan nae kwny fundi Mbao naelewan nae kwny fundi tofali naelewan nae. Fundi umeme naelewan nae unakuta site heshima na adabu hakun WA kumvimbia mwnzie na ukiwa nyum ya muda nakuchimbia mkwara vzr. View attachment 3165274View attachment 3165275View attachment 3165276