Faida na hasara za magadi

Faida na hasara za magadi

Anita Baby

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
1,265
Reaction score
540
Kuna baadh ya watu hutumia sana magadi kuweka kwenye makande, maharage, ndizi yaani karibia kila chakula. Pls mwenye kujua anijuze faida zake na hasara ktk mwili wa binadam.
 
Kuna baadh ya wa2 hu2mia sana magadi kuweka kwenye makande, maharage, ndiz yan karibia kila chakula. Pls mwenye kujua anijuze faida zake na hasara ktk mwili wa binadam.

magani sana sana huwa yanaharibu meno yanakuwa kama yameungua dizaini mfano mzuri ni watu wa arusha...
 
Mgadi ni Bicarbonate. Hivyo tafuta faida za bicarbonate uta - reciprocate faida yake ktk mwili wa binadamu
 
Faida za magadi; mosi huongeza madini joto mwilini,pili yanapowekwa kwenye chakula husaidia chakula hicho kuiva kwa haraka(kulainika) tatu yanapotumika viwandani kuwekwa kwenye bidhaa kama nguo husaidia kulainisha(texture)

Hasara; yasipotumika vizuri yanaharibu afya mfano yanaweza kuleta vidonda
NB: nimekujibu kulingana na uelewa wangu wa juujuu sina utaalamu sana
 
1.Husababisha gesi kujaa tumboni na geai hiyo huwexa kusababisha vidonda vya tumbo
2. Kiungulia na kuilazimisha kongosho kufanya kazi zaidu ya uwezo kitu ambacho hupelekea kucheuwa povu mara kwa mara
 
Kuna baadh ya wa2 hu2mia sana magadi kuweka kwenye makande, maharage, ndiz yan karibia kila chakula. Pls mwenye kujua anijuze faida zake na hasara ktk mwili wa binadam.
Nitachangia kidogo na wenzangu wataongezea.

Magadi yale ya kienyeji (Huko kilimanjaro huyaita mbala/ikati) ni mojawapo ya chumvi-chumvi asili na yana mchanganyiko wa Sodium bicarbonate,magnesium hydrophoshate na madini/vitu vingine.

Yanapoyeyuka kwenye maji, maji hayo yanakuwa ni alkaline. Ndo maana watu huyatumia kutibu kwa haraka sana tatizo la kiungulia (heartburn) kwani hu-neutralize acid (tindikali) tumboni.(ref.maharage yaliyopikwa kwa kutumia magadi hayaleti kiungulia).

Yakitumika vizuri (Kwa kuzingatia maelekezo ya wazoefu) hayana hasara ktk. mwili wa binadamu ila faida yake ni husaidia sana kuimarisha mifupa na ndo maana mtu aliyevunjika akitumia vyakula vyenye magadi hupona mapema i.e.mfupa /mifupa huunga mapema zaidi. Mifugo hulamba na afya yao huimarika.

Kinachofanya meno yawe ya kahawia ni kule kuwepo kwa kiasi kilichozidi kiwango cha madini yaitwayo Fluorine/Fluoride. Lakini meno hayo (kwa utani wanayaita meno ya mbao) ni imara zaidi i.e. ni magumu zaidi kuliko yale meno meupe.

Hicho ndicho ninachafahamu.
 
Nitachangia kidogo na wenzangu wataongezea.
Magadi yale ya kienyeji (Huko kilimanjaro huyaita mbala/ikati) ni mojawapo ya chumvi-chumvi asili na yana mchanganyiko wa Sodium bicarbonate,magnesium hydrophoshate na madini/vitu vingine. Yanapoyeyuka kwenye maji, maji hayo yanakuwa ni alkaline. Ndo maana watu huyatumia kutibu kwa haraka sana tatizo la kiungulia (heartburn) kwani hu-neutralize acid (tindikali) tumboni.(ref.maharage yaliyopikwa kwa kutumia magadi hayaleti kiungulia).
Yakitumika vizuri (Kwa kuzingatia maelekezo ya wazoefu) hayana hasara ktk. mwili wa binadamu ila faida yake ni husaidia sana kuimarisha mifupa na ndo maana mtu aliyevunjika akitumia vyakula vyenye magadi hupona mapema i.e.mfupa /mifupa huunga mapema zaidi. Mifugo hulamba na afya yao huimarika.
Kinachofanya meno yawe ya kahawia ni kule kuwepo kwa kiasi kilichozidi kiwango cha madini yaitwayo Fluorine/Fluoride. Lakini meno hayo (kwa utani wanayaita meno ya mbao) ni imara zaidi i.e. ni magumu zaidi kuliko yale meno meupe.
Hicho ndicho ninachafahamu.
Meno yenye extra fluoride katika utengenezwaji wake yanakuwa brittle - yanavunjika kirahisi.
 
pumbavu mi nilifikiri magaidi kama wale waliokutana na mama juzi ikulu
 
Back
Top Bottom