Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 540
Kuna baadh ya watu hutumia sana magadi kuweka kwenye makande, maharage, ndizi yaani karibia kila chakula. Pls mwenye kujua anijuze faida zake na hasara ktk mwili wa binadam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna baadh ya wa2 hu2mia sana magadi kuweka kwenye makande, maharage, ndiz yan karibia kila chakula. Pls mwenye kujua anijuze faida zake na hasara ktk mwili wa binadam.
Nitachangia kidogo na wenzangu wataongezea.Kuna baadh ya wa2 hu2mia sana magadi kuweka kwenye makande, maharage, ndiz yan karibia kila chakula. Pls mwenye kujua anijuze faida zake na hasara ktk mwili wa binadam.
Meno yenye extra fluoride katika utengenezwaji wake yanakuwa brittle - yanavunjika kirahisi.Nitachangia kidogo na wenzangu wataongezea.
Magadi yale ya kienyeji (Huko kilimanjaro huyaita mbala/ikati) ni mojawapo ya chumvi-chumvi asili na yana mchanganyiko wa Sodium bicarbonate,magnesium hydrophoshate na madini/vitu vingine. Yanapoyeyuka kwenye maji, maji hayo yanakuwa ni alkaline. Ndo maana watu huyatumia kutibu kwa haraka sana tatizo la kiungulia (heartburn) kwani hu-neutralize acid (tindikali) tumboni.(ref.maharage yaliyopikwa kwa kutumia magadi hayaleti kiungulia).
Yakitumika vizuri (Kwa kuzingatia maelekezo ya wazoefu) hayana hasara ktk. mwili wa binadamu ila faida yake ni husaidia sana kuimarisha mifupa na ndo maana mtu aliyevunjika akitumia vyakula vyenye magadi hupona mapema i.e.mfupa /mifupa huunga mapema zaidi. Mifugo hulamba na afya yao huimarika.
Kinachofanya meno yawe ya kahawia ni kule kuwepo kwa kiasi kilichozidi kiwango cha madini yaitwayo Fluorine/Fluoride. Lakini meno hayo (kwa utani wanayaita meno ya mbao) ni imara zaidi i.e. ni magumu zaidi kuliko yale meno meupe.
Hicho ndicho ninachafahamu.
Kweli.Meno yenye extra fluoride katika utengenezwaji wake yanakuwa brittle - yanavunjika kirahisi.