Nadhani hao ni matajiri sana mpaka waache kutumia sukari ya sh 2000 kilo hadi kutumia asali inayouzwa sh 12000 kwa lita. Sidhani kama kweli huzijuwi faida za asali.
Na ukweli ni kuwa SUKARI kama SUKARI kamwe haiwezi kusababisha ugonjwa wa kisukari mwilini na kuepuka sukari pekee hakuwezi kumkinga mtu asipatwe na KISUKARI.
asali inafaida,sukari ina hasara mf hupunguza uwezo wa kuona, lkn zote zna hasara kwa m2 acye na HORMONE YA INSULIN ambyo huweza kudhibiti kiwango cha glucose mwilin coz zote zinakuwa glucose kama end product