Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Wana JAMVi
Imekuwa kama fashion siku hizi watu kuacha kunywa chai ya sukali na badala yake kutumia zaidi asali kama mbadala.
Wengine wanadai kwamba hii inasaidia kumkinga mtumiaji na kupata ugonjwa wa kisukali siku za mbele.
Kuna ukweli wowote? Nini faida na hasara za matumizi ya asali?