Faida na hasara za matumizi ya asali

Faida na hasara za matumizi ya asali

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
Wana JAMVi

Imekuwa kama fashion siku hizi watu kuacha kunywa chai ya sukali na badala yake kutumia zaidi asali kama mbadala.

Wengine wanadai kwamba hii inasaidia kumkinga mtumiaji na kupata ugonjwa wa kisukali siku za mbele.

Kuna ukweli wowote? Nini faida na hasara za matumizi ya asali?
 
Nadhani hao ni matajiri sana mpaka waache kutumia sukari ya sh 2000 kilo hadi kutumia asali inayouzwa sh 12000 kwa lita. Sidhani kama kweli huzijuwi faida za asali.

Na ukweli ni kuwa SUKARI kama SUKARI kamwe haiwezi kusababisha ugonjwa wa kisukari mwilini na kuepuka sukari pekee hakuwezi kumkinga mtu asipatwe na KISUKARI.

Jifunze mengi kuhusu ugonjwa wa kisukari HAPA
 
hasara ya kutumia asali na kuishiwa na pesa make bei yake....
 
asali inafaida,sukari ina hasara mf hupunguza uwezo wa kuona, lkn zote zna hasara kwa m2 acye na HORMONE YA INSULIN ambyo huweza kudhibiti kiwango cha glucose mwilin coz zote zinakuwa glucose kama end product
 
Back
Top Bottom