Faida na hasara za uhamasishaji wa Mwijaku Simba

Faida na hasara za uhamasishaji wa Mwijaku Simba

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Nianze na hasara sababu ni nyingi:

*Tofauti na kale ka dada, Mwijaku hajui mpira ni shabiki hoyahoya ukimuambia akuachambulie hata formation za mpira ni debe tupu.

*Ni lolopolopo haswa halijui kuchuja maneno hana tofauti na lile tambara tulilolitupa

*Akili yake ni kujikweza yeye na kutaka kuonyesha mafanikio ya kitu yanatokana na yeye hapo hana tofauti na lile sukule tambara letu la zamani

FAIDA ZA DC WIJAKU
*Kwa sasa sukule limeletewa mwezi mchanga mwenzake , Its high time ajue kwamba Barbra na Mo dewji ni way above level zake akae kuvurumishishiana matusi na Mwijaku na ndani ya siku moja tu ishajionyesha kwamba ni jambo sahihi kabisa kuwakutanisha nguruwe wawili kwenye zizi lenye matope machafu yanayonuka wavurumushane huko, hata mashabiki wa utopolo wameligundua hilo ndiyo maana wote wana mu attack Mwijaku na siyo kay mziwanda.

Wakati vita ya hawa wehu wawili inaendelea embu tulieni mtutafutie afisa habari anayefanya kazi kiuweledi
 
Mwijaku ni lopolopo na kwa mtazamo wa haraka hatokua na jipya zaidi ya kuvurumishiana maneno ya kashfa na Msukule,sio mtu wa soka sidhani kama anajua vema hata punje tu ya historia ya Simba.

Na kwa jinsi Msukule alivyo na nafsi nyepesi tegemea siku za mbeleni kuitisha press ya malalamiko ya kudhalilishwa na Mwijaku.

Imenyesha na pashaonekana panapo vuja.
 
Kabisa si unaona juzi kapewa dongo la ndoa kanyamaza kimya binafsi anatamani dongo lile lingetoka kwa Barbra au Mo sasa limevurumushwa na lopolopo mwenzake, acha watukanane na kusutana wkati huo simba wachague afisa habari atakayekuwa anafanya kazi kama mtu mwenye akili timamu
 
Watu wanaona mbali sana,kwa hivi sasa ambapo propanganda ndio zinanguvu kuliko matokeo uwanjani watu kama hao ni mhimu sana.

Yes jamaa ni lopolopo lakini anajua kuteka attention mitandaoni hata kama negatively. Simba itamtumia sana huyu mtu kudiverge baadhi ya mambo yao negatively ,mfano simba ikifungwa uwanjani huyu jamaa atatokana kutopoka lolote watu watahama kwenye kushinikiza kocha,viongozi,bodi nk na kumjadili & kumuattack yeye personal huku simba na viongozi wakiwa salama salmini.

Uongozi wa simba wapo sahihi kabisa,kama huyu jamaa anachokifanya kingekua ni kibaya asingekubaliwa kufanya kazi na taasisi mbalimbali na nasikia yupo kwenye lile kundi la influencers mitandaoni ambao gov wanawatumia kudiverge na kuzima ajenda mbalimbali
 
Wakati vita ya hawa wehu wawili inaendelea embu tulieni mtutafutie afisa habari anayefanya kazi kiuweledi
Hapo ndipo mnapochanganya madawa! Mwijaku hajatangazwa kwamba ni Afisa Habari, ni mhamasishaji tu, na yeyote anayetaka kuhamasisha Simba hawezi kukataliwa maana uhamasishaji unachohitaji ni kupiga domo tu na ndio maana kwa Simba wanakuwa deiwaka, hawaajiriwi.

Nafasi ya Afisa Habari bado inakaimiwa na haijazibwa. Hakuna haja ya kushikia bango eti kwa nini Mwijaku amepewa awe mhamasishaji, hivi watu mna roho gani hizi za kiuchawi uchawi?
 
Hapo ndipo mnapochanganya madawa! Mwijaku hajatangazwa kwamba ni Afisa Habari, ni mhamasishaji tu, na yeyote anayetaka kuhamasisha Simba hawezi kukataliwa maana uhamasishaji unachohitaji ni kupiga domo tu na ndio maana kwa Simba wanakuwa deiwaka, hawaajiriwi. Nafasi ya Afisa Habari bado inakaimiwa na haijazibwa. Hakuna haja ya kushikia bango eti kwa nini Mwijaku amepewa awe mhamasishaji, hivi watu mna roho gani hizi za kiuchawi uchawi?
nisome vizuri basi na wewe, kichwa cha habari kinasemaje? UHAMASISHAJI WA........ naelewa wahamasishaji ni yeye mwijaku na kay mziwanda na kamwaga mkataba umeisha anaenda Uk ndiyo mana nikasema wakati wanatafuta afisa habari.

Halafu wewe ni bogus hadi sasa hakuna kaimu afisa habari, Kamwaga mkataba wake ushaisha tangu last month kina chiko wanaibiaibia tu sababu wako kitengo cha habari.

halafu roho ya kichawi anayo bibi yako marehemu anayechomwa na shetani huko jehanamu
 
Kwanza inawezekana Mwijaku amesoma zaidi kuliko wanaomuanzishia threads humu
Kama suala la degreee hata daudi bashite anayo degree, Mwijaku anajua mpira kuliko yule dada kay mziwanda ambaye probably hata ni standard 7?
Mimi ujio wa Mwijaku naufurahia kwa angle ya yeye kutukanana na lile sukule basi.....
 
nisome vizuri basi na wewe, kichwa cha habari kinasemaje? UHAMASISHAJI WA........ naelewa wahamasishaji ni yeye mwijaku na kay mziwanda na kamwaga mkataba umeisha anaenda Uk ndiyo mana nikasema wakati wanatafuta afisa habari.....
halafu roho ya kichawi anayo bibi yako marehemu anayechomwa na shetani huko jehanamu
Mtu mwenye akili iliyotulia hawezi kuanzisha uzi eti kumchambua mhamasishaji, wakati shabiki yeyote ni mhamasishaji wa mwenzake na wa timu kwa ujumla
 
Hivi na nchi nyingine katika mchezo wa mpira wanatafuta wasemaji wa kusutana kama sisi...au bora liende
 
Mtu mwenye akili iliyotulia hawezi kuanzisha uzi eti kumchambua mhamasishaji, wakati shabiki yeyote ni mhamasishaji wa mwenzake na wa timu kwa ujumla
wewe naye uliyechangia uzi wa wasio na akili ndiye mjinga numero uno
 
Hivi na nchi nyingine katika mchezo wa mpira wanatafuta wasemaji wa kusutana kama sisi...au bora liende
Lopolopo lisukule naona wamelivumilia wamechoka for 2 months kila akiamka ni matusi kwa Mo dewji na Barbara sasa kaletewa msutaji mwenzake press conferences zitakuwa kuongelea mambo ya ndoa hadi aina ya sahani wanazotumia huko nyumbani na pale benchi anapasha Dr kumbuka muda wowote ataongezwa kumpa nguvu Dc mwijaku
 
Nianze na hasara sababu ni nyingi:

*Tofauti na kale ka dada, Mwijaku hajui mpira ni shabiki hoyahoya ukimuambia akuachambulie hata formation za mpira ni debe tupu.

*Ni lolopolopo haswa halijui kuchuja maneno hana tofauti na lile tambara tulilolitupa

*Akili yake ni kujikweza yeye na kutaka kuonyesha mafanikio ya kitu yanatokana na yeye hapo hana tofauti na lile sukule tambara letu la zamani

FAIDA ZA DC WIJAKU
*Kwa sasa sukule limeletewa mwezi mchanga mwenzake , Its high time ajue kwamba Barbra na Mo dewji ni way above level zake akae kuvurumishishiana matusi na Mwijaku na ndani ya siku moja tu ishajionyesha kwamba ni jambo sahihi kabisa kuwakutanisha nguruwe wawili kwenye zizi lenye matope machafu yanayonuka wavurumushane huko, hata mashabiki wa utopolo wameligundua hilo ndiyo maana wote wana mu attack Mwijaku na siyo kay mziwanda.

Wakati vita ya hawa wehu wawili inaendelea embu tulieni mtutafutie afisa habari anayefanya kazi kiuweledi
mkuu tumekuelewa ''uko vizuri``
 
Mwijaku amewekwa pale apambane na lile sukule la utopolon bas hiyo ndo kaz yake
 
Back
Top Bottom