Faida na Hasara za Unallocated shares

Faida na Hasara za Unallocated shares

Mlenga

Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
16
Reaction score
7
Wana Jukwaa Hongereni kwa Kazi.
Ningependa kujua unapoanzisha kampuni ni wakati gani unahitaji kuacha unallocated shares. Faida yake nini na hasara zake ni zipi.Kazi njema
 
Yaani siku nzima swali langu halijapata mchangiaji hata mmoja. Duh
 
watu wapo Kwenye siasa na mapenzi.
hizo Ndio habari zinazopendwa zaidi Jf na Tanzania kwa ujumla. ccm wameharibu kabisa hii nchi, wameliangamiza taifa.
 
Faida ya unallocated shares (nadhani terminology inayotumika ni unalloted shares) ni kwamba inakupunguzia paper work na gharama zingine unapotaka kuongeza mtaji wa kampuni yako. Maana yake ni kwamba unakuwa na mtaji ulioidhinishwa (Authorised Share Capital) lakini wenye hisa wanatanguliza sehemu tu ya huo mtaji (Issued Share Capital) kulingana na mahitaji ya wakati huo. Ile sehemu uliyobaki ndiyo Unalloted Share Capital. Siku utakapohitajika kampuni itaupata kwa haraka kutoka kwa wanahisa waliopo au kutoka kwa wanahisa wapya. Vinginevyo kampuni ingebidi kubadilisha katiba yake (i.e. Memorandum and Articles of Association) ili kuongeza kiasi cha mtaji ulioidhinishwa. Mchakato huu unachukua muda mrefu pamoja na gharama.
 
Ruge. Thank you very much.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani unge google then uje na applicability ndani ya DSE
 
Back
Top Bottom