Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,182
- 9,586
Habari za muda huu wana Chit-Chat.
Hivi karibuni nimekuwa nikitafakari kuhusu watu ambao tunapenda sana kukaa peke yetu (solitude) ili kufanya mambo yetu ya msingi au kutafakari.
Kuna watu wanatuona tuna maroho mabaya au tunaringa, lakini ukweli ni kwamba hapo ndipo akili inapotulia na kutengeneza vitu vikubwa.
Changamoto inakuja pale unapolazimika kuingia kwenye 'social settings'. Je, wewe kama mdau unayependa 'space' yako, ni changamoto gani kubwa unakutana nayo unapojaribu kuchangamana na watu wasiokuelewa? Na unatumia mbinu gani ku-balance?