Faid ya kuoga maji ya moto ni pamoja na kuusaidi katika kuyeyusha mafuta yanayojigandisha mwilini baada ya jasho nkuktoka mchana kutwa,pia yanasaidia katika kuufanya mwili ujisikie fresh yani ni kama maasage fulani hivi ya maji, maji ya baridi sanasana huwa ni muhimu kwa kuchangamsha mwili lakini pia mahospitalini huwashauri wagonjwa wenye homa kali kuoga maji ya baridi ili kushusha hiyo homa kwa njia ya maji kwanza