mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Huenda ni kweli maana wk wote wanafanana wengi wao k unakuta haifai uenda walijiharibu wenyewe, jinsi ya kurudia ujalisia oshea maji ya mchele kwa wiki 1 alafu uje nitest
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji ya moto mabaya kunawia uke unalegea.....
Maji ya moto mabaya kunawia uke unalegea.....
Ya pili ni kweli hata mm nikiwa mwisho wa mwezi tumbo likiuma naoga au kunywa au kukanda tumboo na maji ya moto na linapoa
Iyo ya tatu duh bas kama ni ivyo yangu ingekua kama bwawa maana napenda kunawia maji ya moto
atakuwa labda anapenda kupiga mbizi we hujui tu...
aaaaah wapi..Kuna watu wanamiliki vitu na hawavijui vizuri, kuwa na K hakukufanyi wewe kuijua 100% na ndo maana tunajifunza...!
Hiyo theory yako siwezi kuiamini hadi nipate proof, nini kinasababisha K ipwaye ikioshwa na maji vuguvugu?
Inapwaya sehemu zipi (ndani au mashavuni?)
na wale wanaojifungua halafu wanakandwa na maji ya moto sababu wanasema yanafanya kule kunako kurudi kuwa normal au mnato zaid?
Mbona kama hapa mnasema tofauti?
Maji ya moto ndio hupunguza ashki na pia maji ya moto kunawia chini kutanua k sijaipata bado kuhus hii ya hedhi pia inasaidia wapo wanaochemsha kisha kuweka ndani ya chupa ya plastik na kuiweka chini ya tumbo sina hakika sana ila kingine nachojua maj ya moto huongeza ladha ktk mapenz pindi muwapi faragha na yataka muda kidogo kuandaa
Inalegeza uke ukinawia mara kwa mara....maji yanayitakiwa ni ya baridi.
halafu nyie si wanawake?
Hebu fanyen majaribio basi ili mje na majibu sahihi
Si kweli, sijawahi nawia maji baridi na ishu iko vizuri kabisaa
kulegea au kukaza kwa uke ni maumbile kilamtu ameumbwa kwa namna yake.
Hivi kama maji yamoto yanalegeza naniliuu mbona tukijifungua ndo unaambiwa ukandie ili tuwe vizuri?
Nakataa kwa nguvu zooote.
Mi nimekunywa sana maji ya moto kipindi fulani...afu nikaja ambiwa na rafiki yangu hii story nikashindwa kushangaa...inaweza kuwa ni saikolojia zaidi...ukiambiwa hiki kinafanya hivi ukaamini, kinakuwa, na kama tujuavyo mambo ya genye ni ya kihisia zaidi.
Maana kama ni kweli basi na wapenzi wa chai na kahawa je? na mimi ni mpenzi wa chai pia...anything hot napenda sana...
Na kuwa more precise ni kuwa wanasema maji ya moto yanakausha K...(which could be a bit different though related to genye)
Ndio nasema labda mnaongelea barafu; nani anatumia maji ya moto Dar? lakini ukiwa nchi za watu maji baridi hayashikiki kipindi cha winter...ndio maana naona kama kuna vitu ni vigumu ku apply...
Kama mnato mnato tu...wanasema nini ikikosa maua usingizia mvua?