miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Ya pili ni kweli hata mm nikiwa mwisho wa mwezi tumbo likiuma naoga au kunywa au kukanda tumboo na maji ya moto na linapoa
Iyo ya tatu duh bas kama ni ivyo yangu ingekua kama bwawa maana napenda kunawia maji ya moto
Maji ya moto mabaya kunawia uke unalegea.....