Faida na madhara ya kuoga kwa maji ya moto

Faida na madhara ya kuoga kwa maji ya moto

wanawake madhara ni yapi

Kwa ufahamu wangu mie nikiwa bado naishi na dingi .wake zake ilikuwa marufuku kuoga usiku yawe maji moto au bardi .madhara yake ni kusababisha kizaz cha m.ke kusinzia kwa hiyo itachukua muda kuweza kurud hali yake ya kawaida kwa maana uzaz wa m.ke ni kama gari za automatic hujirekebisha wenyew.
Kwa wanawake kuna madhara kuoga usku maji moto au maji bardi ......tahadhali
 
Mkuu achana naye huyo atakupotezea muda wako tu...in short ni anti-MMU na hapa anashangaa namna watu hapa walivyo na uwezo wa kutoa fafanuzi makini.

Kuna madhara gani mkuu? Unaweza kutufafanulia?

Kwa sababu kama joto lingekuwa madhara kwenye utengenezaji wa mayai basi ovaries nazo zingekuwa zinaning'inia nje kama korodani.

Ila kama una maelezo ya kisayansi basi tuwekee ili tuelimike!
 
Kwani mwanamume akioga maji ya moto anaziloweka korodani na kuziacha kwenye maji siku nzima??

Ni kweli korodani hazihitaji hali ya joto ili ziweze kuendelea na uzalishaji wa mbegu. Hii haina maana kwamba mtu akiwa kwenye mazingira ya baridi aziache korodani zifreeze. Na pia kwenye suala la kuoga, mtu anaoga maji ya moto kutegemeana na mahali alipo. Kwa mfano, ukiwa maeneo ya pwani kipindi kama hiki, hali ni joto sana kiasi kwamba hata maji ya bomba yanakuwa ya moto. Kwa hiyo suala la kuoga maji ya moto linategemea hali ya joto ya nje na haliwezi kuathiri utendaji kazi wa korodani!

ninaomba ifahamike kuwa sio joto tuu linalo athiri korodani katika uzalishaji wa mbegu bali hata baridi ndio maana kukiwa na baridi zinakimbilia ndani kufuata joto na hili halina uhusiano kabisa na kuoga maji ya moto
 
Kwani mada yanyewe inahusu nini?? Hebu soma hapo chini halafu urudie tena. Au unataka tukueleze hadi jina la muscles zinazoruhusu korodani kugusana na mwili au kuning'inia chini kabisa?

Habari gani wanajamvi?,kuna madhara gani kwa mwanaume kuoga maji ya moto kwa upande wa mfumo mzima wa uzazi? kwani inasemekana eti corodani hazitaki joto ndo maana ni organ iliyoko nje. naomba kuwasilisha.
 
hakuna lolote, huku mafinga mufindi ukioga maji ya baridi kila siku unatafuta majanga zaidi ya hayo ya uzazi
 
Maji ya moto unaweza kuyaoga? Semeni maji vuguvugu! Kweli maji ya moto ukiyaoga korodani zinavimba(protrude) na km ndo kila siku unawezadhurika!
 
Kwani mwanamume akioga maji ya moto anaziloweka korodani na kuziacha kwenye maji siku nzima??

Ni kweli korodani hazihitaji hali ya joto ili ziweze kuendelea na uzalishaji wa mbegu. Hii haina maana kwamba mtu akiwa kwenye mazingira ya baridi aziache korodani zifreeze. Na pia kwenye suala la kuoga, mtu anaoga maji ya moto kutegemeana na mahali alipo. Kwa mfano, ukiwa maeneo ya pwani kipindi kama hiki, hali ni joto sana kiasi kwamba hata maji ya bomba yanakuwa ya moto. Kwa hiyo suala la kuoga maji ya moto linategemea hali ya joto ya nje na haliwezi kuathiri utendaji kazi wa korodani!

Hahhahahah Babu DC nimecheka tu hapa mie!
 
Kwanza si kweli hasa kwamba hazihitaji "joto" (labda tuzungumzie kiasi!).....ndio sababu pia ukioga maji baridi au hata wakati wa baridi ngozi (scrotum) inasinyaa ili korodani zipande juu na kupata "joto" (linalotakikana) kutoka kwenye mwili...joto likizidi inajirudisha tena chini ili kupunguza. Hiyo mifuko inafanya kazi kama ilivyo "thermostat" tu.

Wataalamu wanasema joto linalotakikana ni kati ya centigrade 3 mapa 5 chini ya joto la mwili.
 
Habari gani wanajamvi?,kuna madhara gani kwa mwanaume kuoga maji ya moto kwa upande wa mfumo mzima wa uzazi? kwani inasemekana eti corodani hazitaki joto ndo maana ni organ iliyoko nje. naomba kuwasilisha.

corodani ndo nini? Picha tafadhali za hizo corodani
 
Kwanza si kweli hasa kwamba hazihitaji "joto" (labda tuzungumzia kiasi!).....ndio sababu pia ukioga maji baridi au hata wakati wa baridi ngozi (scrotum) inasinyaa ili korodani zipande juu na kupata "joto" (linalotakikana) kutoka kwenye mwili...joto likizidi inajirudisha tena chini ili kupunguza. Hiyo mifuko inafanya kazi kama ilivyo "thermostat" tu.

Wataalamu wanasema joto linalotakikana ni kazi ya centigrade 3 mapa 5 chini ya joto la mwili.

Uko sawa kabisa mkuuu...Ndiyo kazi ya msuli unaoitwa Cremaster!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Shaloom wakubwa.ningependa kujua faida au madhara ya kuongea maji ya moto.kwa wanaume wa umri kati ya 20-40 yrs.Kwani nimewahi kuskia habari tofauti.mara ni kujizeesha.mara kupunguza nguvu za kiume.(Hii ni kwa sehemu zile zenye hali ys hewa sio baridi sana wala joto sana)
 
mimi Pia nilisikia kwa wanawake inapanua uke(SINA TAFSIDA HATA KITABU KIMEANDIKA UKE NA UUME SOR NIKIMKWAZA MTU)
 
Back
Top Bottom