medson jonasan
Senior Member
- Jan 14, 2014
- 145
- 27
wanawake madhara ni yapi
Kwa ufahamu wangu mie nikiwa bado naishi na dingi .wake zake ilikuwa marufuku kuoga usiku yawe maji moto au bardi .madhara yake ni kusababisha kizaz cha m.ke kusinzia kwa hiyo itachukua muda kuweza kurud hali yake ya kawaida kwa maana uzaz wa m.ke ni kama gari za automatic hujirekebisha wenyew.
Kwa wanawake kuna madhara kuoga usku maji moto au maji bardi ......tahadhali