Faida na madhara ya kuoga kwa maji ya moto

Faida na madhara ya kuoga kwa maji ya moto

Si hata sayansi inasema joto hufanya kitu kutanuka na baridi hufanya kitu kusinyaa.......na ndio maana mabinti waishio mikoa yenye joto kali ni "wakubwa" ukilinganisha na wale waishio mikoa yenye baridi ambao wapo TIGHT.....veeeeeery tight.
 
1.je ni kweli maji ya moto hupunguza hashiki(hamu ya kujamiina)?
2.je ni kweli huondoa maumivu wakati wa hedhi????how is that possible?
3.je mwanamke akiyatumia kutawadha kuna hati hati ya kutanuka exterior part of vagina????

maji ya moto ni dawa ya kupunguza kitambi.
 
Namba moja ni kwelii ,kuna mabinti wengi wa high school wanapenda saana kutuma maji ya moto kujikandaa
 
Myth...

aaaaah wapi..Kuna watu wanamiliki vitu na hawavijui vizuri, kuwa na K hakukufanyi wewe kuijua 100% na ndo maana tunajifunza...!
Hiyo theory yako siwezi kuiamini hadi nipate proof, nini kinasababisha K ipwaye ikioshwa na maji vuguvugu?
Inapwaya sehemu zipi (ndani au mashavuni?)
 
Hahahaaa mnato kama yako ni ka mguu wa mtoto.......ilaa yako ikiwa ka kibamia inaelea lol

sasa kitu mnato si kinatakiwa kinatishe size zote...

mfano ulimbo huwa unanatisha vitu vyote iwe ni vikubwa au vidogo atiii....
 
Back
Top Bottom