Kuna madhara kweny utoaji wa mbegu zinakuwa weak haziwezi kuzalisha ndo mana unashauriwa uweke batafu kwny korodani kupunguza joto sasa maji ya moto ni kinyume chakee
wenzetu nje huko wanaoga maji ya moto kila siku majira ya baridi sasa mbona wanazaana tu, mambo mengine nayo ata
Faida kubwa ni kutoa nuksi na mikosi!
Habari gani wanajamvi?,kuna madhara gani kwa mwanaume kuoga maji ya moto kwa upande wa mfumo mzima wa uzazi? kwani inasemekana eti corodani hazitaki joto ndo maana ni organ iliyoko nje. naomba kuwasilisha.
100% kwa 100%Kila siku naoga maji ya moto na kila kitu kiko vizuri kabisa!
Joto linaathiri uzalishaji wa mbegu za kiume haliathiri mfumo mzima wa uzazi. Kama unataka mtoto hapo ndio penye tatizo. Hata hivyo joto endelevu ndilo lenye madhara mfano kuota moto masaa mengi, kupakatia laptop mapajani kwa muda mrefu, kuvaa chupi za kubana sana kiasi kuwa korodani zinabanana ma mapaja hivyo kupata joto sana, nk. Lakini suala la kuoga ni dakika chache sana hakuwezi kuwa na madhara.
Kila siku naoga maji ya moto na kila kitu kiko vizuri kabisa!
Muda mungine munatoa ushaur wa maana ...........
Pia hata kwa wanawake yapo madhara .muwe makin na wake zenu........
.
Muda mungine munatoa ushaur wa maana ...........
Pia hata kwa wanawake yapo madhara .muwe makin na wake zenu........
.
Kwani mwanamume akioga maji ya moto anaziloweka korodani na kuziacha kwenye maji siku nzima??