Mawenzi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,251
- 347
kama govi ni tabu kuosha, vipi kutawaza nako haiwezekani,ama nako hautawazi?maana sehemu zinazotakiwa usafi wa mara kwa mara ni nyingi ikiwemo na makwapa na kinywa. kama unaoga kila siku hili linatoka wapi?
na huu ni uongo mtakatifu ulikolezwachumvi. binafsi nimetokea huko wasikotahiri kabisa, na nilisoma shule ya mixture yenye mazingira mazuri na safi na wanafunzi wake ni wasafi na wametoka karibu kila kona ya nchi, kulingana na mazingira ilipo shule hiyo wavulana ambao ni wenyeji hawanakuwa wamefanyiwa tohara, na sijawahi kuona,kusikia wala kuhisi kuna mtu ananuka kisa ana govi, na ilikuwa inajulikana tu labda kama mtu wakimkuta anaoga na hata wasichana ilikuwa inabaki siri yao kuwa waapenzi wao hawajafanya tohara, mimi mwenyewe nilikuwa na msichana si tu wa mjini bali pia asili yake ni mzalamo na mnyakyusa na aliishi mazingira hayohayo wanapochukia govi, lakini she loved memore than so much na hakuwahi kulalamikia hilo govi. niliwahi kuandika stori ya huyu mtoto japo sikuimalizia.
imani mbaya sana wakati mwingine inapoaminisha watu isivyo. maana mimi katika kipindi chote hicho huo uchafu haukuwa sehemu yangu.
hii ni mechanism ambayo ipo wazi dhahiri shahiri, maandalizi kabla ya mechi, muda wenyewe ulikuwa miaka 15, ulikuwa unaelewa hata kuwa kuna maandalizi kabla ya mechi? ukweli najua ulikuwa unachomeka tu, matokeo yake unakuta msichana hajawa tayari uke umekauka na wewe hujapata stimulation za kuzalisha vilainishi.
inekuwa sasa, hata usingepata. huko usukumani watu wangekuwa wanakimbiwa na wake zao kama kungekuwa kunajitengeneza vidonda kiasi hiki, wakati ndio kwanza kabla ya ukimwi kuharibu mambo kuna wanaume haohao wenye magovi walikuwa wanatembea na wanawake hata 6 kwa siku moja. eti wewe mmoja tu chali tayari vidonda
hayo mambo ya uume uliotahiriwa ndio yanasababisha zaidi mchubuko hasa kwa wanawake na kuwakosesha raha, kumbuka ngozi yao ya ndani laini sana, inapotokea wewe umechubuka na una sugu je mwanamke anakuwa na hali gani? na isitoshe unakuwa hauna tena vifuko vya kutengeneza oil ya kulainisha kama ilivyoelezwa na unakuwa unategemea majimaji ya ukeni ndio pekee yatumike kulainishia
hapa nadhani hukusomavizuri katika maelezo niliyotoa, na kama umesoma vizuri basi hujaelewa kabisa ndio maana unabisha nakuandika nje ya ukeli ulisemwa kwenye maelezo, hapo hatuzungumzii uume unavyoonekana ukiwa haujadinda.
ile ngozi uwepo wake unaruhusu uume kujitanua zaidi na kuchomoka zaidi na kichwa kinatanuka zaidi wakati unapodinda.
ukitahiri ngozi inakatwa na kuondoka yote hivyo haivutiki na ukidinda ile ngozi inakuwa kama inashikilia uume usiwe mrefu zaidi maana haiko elastic/inavutika tena. ukitaka kujua ukweli huu, tumia mano wa manati inavyovutika, kama ina mipira mifupi na isiyovutika kirahisi hairuhusu kuivuta sana vinginevyo itakatika, ila ikiwa ni ndefu na inavutika utaivuta na kuwana urefu zaidi, labda mpaka niweke picha? ndio uelewe japo siwezi maana uzi utahamishwa kwendaajukwa lingine,
sawa.
usilete habari za biblia hapa, utakimbia mjadala bure. tujadili mengine.
Mshinga umetisha!!! Wanaobisha wanabisha tu kwa sababu mila zao potofu zinasema govi halitakiwi. Wamuulize mwanamke aliyefanywa na mwenye govi na asiyenalo. Mimi sijawahi kuambiwa na mwanamke au mwanaume kuwa uume wangu unanuka, na wala sijawahi kusikia hata kwenye shule za boarding kwa kulalamika kuwa kuna harufu mbaya inayotoka kwenye govi, licha ya kulala bweni moja na kushea kitanda (double decker).