Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
kutunza govi nako ni shughuli kubwa sana mkuu usiangalie faida tu! ile ngozi inayoficha kichwa cha engine huwa inatengeneza unga unga flani hivi ambao unafanana na maziwa mtindi, kama si msafi (and almost wenye magovi wengi huwa ku maintain usafi ni kesi) basi utajikuta unanuka sana!
Kama kesi ni kuwa na dushe yenye quality na quantinty kubwa kama wadada wanavyotaka, kuna njia nyingi sana za asili za kuiwezesha dushe yako iwe kama ziwa la saa 6 mchana!
Mtahiriwe tu! hiyo ni hatua mojawapo ya kujenga nidhamu ya usafi!
Unaitwa utoko inahitaji usafi wa hali ya juu aisee maana kama watu kuoga tu wengne inakuwa shida huko chini si itakuwa balaa