Faida na umuhimu wa kutofanya Tohara


Mshinga umetisha!!! Wanaobisha wanabisha tu kwa sababu mila zao potofu zinasema govi halitakiwi. Wamuulize mwanamke aliyefanywa na mwenye govi na asiyenalo. Mimi sijawahi kuambiwa na mwanamke au mwanaume kuwa uume wangu unanuka, na wala sijawahi kusikia hata kwenye shule za boarding kwa kulalamika kuwa kuna harufu mbaya inayotoka kwenye govi, licha ya kulala bweni moja na kushea kitanda (double decker).
 

Nakuona govinda
 

Kama nakuona govinda
 
Kama nakuona govinda

Mkuu
Wazazi wangu ni moja kati ya wazazi wahanga wa kuiga utamaduni wa Waarab na Wazungu kutahiri watoto wa kiume!

Laiti wangetuacha wenyewe tuchague tunataka tuweje na madushe yetu ingefurahisha sana!Kwa hili waliiminya demokrasia
 
Mkakate hayo magovi....msijesababisha wifi zetu wakashinwa kujinafasi na mic
mmmm, kwani kabla ya tendo watu hawaogi? ujue mnalazimisha vitu sana. sehemu za kutoa uchafu ni nyingi sana, hivi hata hao wanaozama chumvini wanaweza kufanya hivyo kama mwanamke hajajisafisha kabla ya tendo? I dont think so japo mimi si muumini wa hilo, the same na hao wa mic, sasa kama mtu unajisafisha kila siku na inajulikana wazi kuwa kwenye faragha lazima mtu ajinafasi atakavyo ,sasa ishindikane vipi mtu kujiandaa kwa ajili ya sex? na moja ya maandalizi ni kuoga, kupiga mswaki ili kila kona pawe ok. hizi naona ni sababu nyepesi unless kama mtu ni mchafu na kama ni mchafu hata kama hana govi bado huwezi kuongea na MIC kisa ana tohara.
 
Zitolewe tu bwana
alafu wewe yaani huwa nakuzimikia kweli , sasa kumbe nitakukosa? dduuuuuuuuuuuuh. lakini yatupasa tuheshimu faida za foreskin na nyinyi mfurahie zaidi faraghani
 
Heheheh ndio gear yako eeeh
alafu ukija ukakolea hautarudi kutoa mrejesho humu, maana watu wengi wanaongea kwa maneno ya KUSIKIA,KUAMBIWA NA MWISHO WANAAMINI. hakuna neno hata kidogo. you get more sweetness and sensationally crazyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
 
alafu ukija ukakolea hautarudi kutoa mrejesho humu, maana watu wengi wanaongea kwa maneno ya KUSIKIA,KUAMBIWA NA MWISHO WANAAMINI. hakuna neno hata kidogo. you get more sweetness and sensationally crazyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy

Aya mambo yana ufundi... we team govinda komaa nalo... ila dah govinda
 

unajua watu wengi ni waoga sana kuusimamia ukweli ama kusimamia mabadiliko kwa kutetea ukweli, mimi mwenyewe demu wangu alikuwa mtoto wa town na ni mjanja tu lakini pamoja na kwamba alikuwa anajua mwanaume anapaswa kufanyiwa tohara lakini alipoonja alikolea na hakuwahi kusilimulia tena habari za tohara kwa kuwa hakuna siku hilo govi lilimkera na haikuwahi kuotokea. na ni wasichana wengi wa mjini walikuwa wanapata wavulana na hukohuko na wanatoka nao na hakuna cha malalamiko wala nini. lakini hata leo huyo msichana akiwa hapahapa mjini kwenye chuo fulani anaweza akaogopa kusema ukweli lakini anajua govi WALA HALIMKELI MTU NA ALIKUWA NA FURAHA KAMA WASICHANA WENGINE. aibu inatuponza

nikupe kisa kimoja, kuna jamaa alitahiri akiwa school, hapo yupo form three, bahati mbaya bandage ikachomoka mademu wakaiona ndio siri za kuwa ametahiri zikajulikana na ndipo ikajulikana kumbe alikuwa hajafanya tohara, SASA ILIKUWA WENZAKE NA MADEMU WAKAKAA MIAKA YOTE HIYO WASIJUE KAMA ANA GOVI KAMA LINGEKUWA LINATOA HARUFU AMBAYO HUMU WENGI WANAAMINI HIVYO ?
 
Hahahahahahahah

Lazima uwe na wasiwasi

Kama mtu mzima unaweka "x" badala ya "s" unatarajia nini,

Hongera kwa kujifunza neno "iq"... kajifunze na kuandika

i cant argue with people who have low iq. mindless
 
With the uses of MIC, many MCs are prone to oral cancer. Abstain it...........
haya ndio mambo ambayo watu hawataki kusikia, every modification of functionality is more trusted than nature. ukiwashauri waache MIC hawatakuelewa kabisa
 
alafu wewe yaani huwa nakuzimikia kweli , sasa kumbe nitakukosa? dduuuuuuuuuuuuh. lakini yatupasa tuheshimu faida za foreskin na nyinyi mfurahie zaidi faraghani

Natamani nione picha!

Kuna mdau hapo kasema Ina raha yake.... doh, i can imagine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…