Uchaguzi 2020 Faida nyingine kwa Tundu Lissu, anabebwa na mkoa anaotoka

Tundu Lisu ni mgombea sahihi wa upinzani kwa sasa,kama alivyo Magu kwa upande wa Chama tawala, mgawanyo wa upinzani mara kwenda kwa ACT, CHADEMA na mawanyo mwingine wa CUF halisi na CUF ya Lipumba ndivyo vitakua mtaji kwa CCM.
 
Hahaha Wanyira bana kwa hiyo mmeshindwa tayari mmekimbilia ukabila jinga kabisa.Namba hazikubali kwa Lissu hana watu. Ukiingiza ukabila ndiyo kabisaaaaaa, poleni
 
Tundu Lisu ni mgombea sahihi wa upinzani kwa sasa,kama alivyo Magu kwa upande wa Chama tawala, mgawanyo wa upinzani mara kwenda kwa ACT, CHADEMA na mawanyo mwingine wa CUF halisi na CUF ya Lipumba ndivyo vitakua mtaji kwa CCM.
Such a benevolent truth that should be told. Mi kwa kweli bado simuamini Membe. Ni bora Lissu apambane na JPM maana aliodhihirisha hilo kwa vitendo miaka michache iliyopita
 
Lissu kakamilika kila idara
Huwezi kumkuta na makando kando.
Hata hizo flyover hawezi kuyauza screpa
#NI YEYE
 
Kachero Mbobezi ndo habari ya mjini kwa sasa!

Kama hoja yako ingekuwa valid basi Anna Mgwira angekuwa ndiye Rais wa JMT kupitia ACT.
 
Such a benevolent truth that should be told. Mi kwa kweli bado simuamini Membe. Ni bora Lissu apambane na JPM maana aliodhihirisha hilo kwa vitendo miaka michache iliyopita
Once a spy always spy perhaps Bernad yupo kimkakati kusaidia chama chake alichokulia. Who knows?
 
Ili awaumize tena 5 yrs
 
Mkuu hakuna anaemuweza JPM kwa uchaguzi huu , tunadanganyana na kujifariji tu !. Watatoa challenge tu ila hawawezi kushinda huo ndo ukweli mchungu !. Huwezi kuwa na mgombea mmoja mmoja wa Cdm , act , cuf na wengine then ushinde dhidi ya CCM never !.
Wanaungana
 
Kuna mtz yeyeto mwenye akili timamu atachagua kuteseka tena 5 yrs
 
Naamini hata ugomvi wao wa wenyewe kwa wenyewe ulikuwa wa kimkakati...Kinachofanywa sasa ni sawa na mzazi wa watoto watatu kwenda dukani kununua soda mbili kisha arudi nazo nyumbani na kuwapatia mtoto wa pili moja na wa tatu ya pili kisha wamgawie mdogo wao nusu nusu...simply mdogo atakuwa amekunywa ujazo mkubwa kuliko wenzie. Kuitoa CCM madarakani bila kuwa na upinzani ulioshikamana ni jambo la kufikirika na kusadikika kwa wakati mmoja.
 
Kila unapogusa Lissu anajizole point tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…