Uchaguzi 2020 Faida nyingine kwa Tundu Lissu, anabebwa na mkoa anaotoka

Uchaguzi 2020 Faida nyingine kwa Tundu Lissu, anabebwa na mkoa anaotoka

Familia nyingi zinavuja damu, zimejeruhiwa na siasa za kijinga za awamu hii.
Kutekwa watu,kuuawa na kubambikwa kesi ni Mambo yanayoichafua sana hii awamu na haistahili kuongezwa muhula mwingine kwani kufanya hivyo ni kutowatendea haki ndugu zetu kama Mawazo, Ben saa8, Kanguye, Tito Magoti,Azory,Mdude, Lissu na wengineo wengi
 
Back
Top Bottom