Uchaguzi 2020 Faida nyingine kwa Tundu Lissu, anabebwa na mkoa anaotoka

Naona mkuu unawafundisha CCM hila za kuweka pingamizi...ha ha ha

Kumbukeni Lissu ni mwanasheria...

Hoja yako ima mashiko, kwa mfano watu wengi mitaa ya Buligi wametoka Rwanda!!
 
"CCM isipotolewa madarakani kwenye uchaguzi wa mwaka huu, Basi itachukua miaka 20 au 25 kuja kuwatoa" Mh Mbowe, 2015 Kwenye mkutano mkuu wa chama Mlimani city.
Mimi natembea na maneno hayo.
 


msiwe wepesi sana kuguess vitu, reality yake ni mbaya sana, nkupe mfano: hapa ni mbowe jimboni kwake ni kama sio polisi mawe yangemhusu
 
hivi kabisa unakaa unabenua makalio yako ukidhani Lissu atapata hata 1% ya kura?
Wewe hujapokea wito wa kampeni ya kitanda kwa kitanda? Wenye chama wanajua wakati mgumu walionao nyie mnambwelambwela mitandaoni?
 
Naona mkuu unawafundisha CCM hila za kuweka pingamizi...ha ha ha

Kumbukeni Lissu ni mwanasheria...

Hoja yako ima mashiko, kwa mfano watu wengi mitaa ya Buligi wametoka Rwanda!!
Mkuu zamani walisema CDM Ni ya kaskazini,Slaa walisema Ni Mkaskazini.
Sasa sijui Lissu watasema Ni Msingida.
 
msiwe wepesi sana kuguess vitu, reality yake ni mbaya sana, nkupe mfano: hapa ni mbowe jimboni kwake ni kama sio polisi mawe yangemhusu
Ndugu hii clip umeing'ang'ania Sana,Hawa watu walipangwa na ushahidi umo humu.
Hata hivyo hii Ni clip ya Mbowe na mada hii Ni ya Lissu wewe hueleweki.
Je unataka tukuwekee clip za Magufuli alizokua anazomewa sehemu mbalimbali wakati wa kampeni mwaka 2015?
Ubungo stendi ya Mkoa,Mbeya,Arusha na sehemu nyingine?
Unajua huko Biharamulo alikosa watu Hadi mkutano ukaahirishwa?
Ndipo watu wakaletw kwa malori siku iliyofuata?
Picha na clip zipo Wala sio uongo.
 

ndo maaana mwandishi amehoji watu tafaut kupata maoni na wote maoni yao ni kumkubali magufuli. hii clip ni ya juzi tu! kuhusu kampeni za 2015 thats lame kwa sababu hakuna alichokua ameanza kufanya
 
hivi kabisa unakaa unabenua makalio yako ukidhani Lissu atapata hata 1% ya kura?
Yaani wendo narrow minded person kabisa. Yaonekana hata hesabu za asilimia huzijui!
 
Hotuba ya. Joseph Selasini imeeleza vizuri kuishinda CCM wapinzani bila ushirikiano ns mbinu za kisayansi haiwezekani. Ubinafsi ndiyo unawaponza this time wataambulia wabunge 5 tu
 

Kabisa lisu anafombea uraisi kwa huruma ya kupigwa risasi toka karudi sioni cha maana alichoongea zaidia ya kutufokea yaani watulie ila tunafurahi kuwa na challenge kidogo
 
Wewe isaya ndiye mpuuzi kabisa eti mtu kakaa ubelgili hajui shida za watu? Lisu hajui shida za watu???
Huyo aliyekuwa waziri miaka mingi asifungue mdomo kuhusu rushwa wala madini wala nyumba za serikali kuuzwa kiholela ndiye leo ameibuka anajua shida za watu???
 
Kwanini mada nzuri nzuri kumhisu Lisu zimeongezeka kuliko za ccm kueleza kazi walizozifanya katika miaka 5?
Ni kama benard morrison tu alivyowanyima rahana usingizi upande wa pili mpaka wameamua kumvuruga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…