Bia zingekuwa na ujinga kama wewe nisingekuwa nakunywa. Unaabisha walipa kodi wakuu nchini.
Ùlitaka wafanye mnachofanya nyie? Unajua maana ya chama kikuu cha upinzani? Mwambie mwenyekiti wenu ni kitu gani kinamfanya aone maruweruwe mchana kama atakuambia ni NCCR Mageuzi.
Haya!!! Nahisi wewe ni mwehu. Maana hata huja-ejaculate ila ushapigia chapuo una mtoto wa kiumeChadema umeshindwa kutekeleza majukumu yake kama chama kikuu cha upinzani, hakitufai Kabisa
Nccr mageuzi watafanya jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya!!! Nahisi wewe ni mwehu. Maana hata huja-ejaculate ila ushapigia chapuo una mtoto wa kiume
Unajua tusi wewe kweli? Au ndo wale mnaoita kukosoa ni uchochezi? Mimi sio muimba mashairi kama wewe.
Upinzani haupigiwi chapuo unakuja automatic tu. Hata mkiuwa upinzani kikabaki chama kimoja upinzani utatoka humo humo ndani.
NCCR Mageuzi ndiyo chaguo la Meko?Afrika Rais ndiye anachagua chama kipi cha upinzani kiishi na kipi kife!
Kwahio kipaumbele chenu ni kuwa chama Kikuu cha Upinzani na sio Kuchukua usukani ?
Unajua tusi wewe kweli? Au ndo wale mnaoita kukosoa ni uchochezi? Mimi sio muimba mashairi kama wewe.
Kuanzia namba 5 na kuandelea,nazo ni faida ambazo tutazipata wananchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpo pale kuwapinga CCM au mpo pale kuleta kile mnachokiona ni bora kwa watanzania sababu CCM imeshindwa ?, kama motive yenu ni kupinga kwani hamuwezi kuendelea kupinga mpaka muwe chama kikuu cha upinzani