Uchaguzi 2020 Faida tutakazopata Watanzania NCCR Mageuzi atakapokuwa chama kikuu cha upinzani baada ya Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Faida tutakazopata Watanzania NCCR Mageuzi atakapokuwa chama kikuu cha upinzani baada ya Oktoba 2020

Saivi ndoto za mchana zimekua nyingi kweli. hata mimi nmeota eti Serikari yetu ime isamehe USA madeni

Ajabu ii

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Chadema umeshindwa kutekeleza majukumu yake kama chama kikuu cha upinzani, hakitufai Kabisa

Nccr mageuzi watafanya jambo
Ùlitaka wafanye mnachofanya nyie? Unajua maana ya chama kikuu cha upinzani? Mwambie mwenyekiti wenu ni kitu gani kinamfanya aone maruweruwe mchana kama atakuambia ni NCCR Mageuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio kipaumbele chenu ni kuwa chama Kikuu cha Upinzani na sio Kuchukua usukani?
 
Yaani unawaza NCCR kuwa chama kikuu cha upinzani kirahisi namna hiyo? Uwezo wako wa kuchambua mambo uko chini sana.

NCCR hata ifanyeje haiwezi kutoka kuwa na Mbunge mmoja hadi kuipiku CCM katika kuwania kuwa chama kikuu cha upinzani.

Piga ua garagaza CCM inamizizi maeneo mengi hivyo pamoja na kudondoshwa na Chadema kwa mbinde nafasi yake ya kuwa na idadi kubwa ya wabunge wa kutosha kuunda kambi yenye nguvu ya upinzani haipingiki.

Sijui CCM watamchagua nani kuwa KUB mwenye uwezo wa kupambana na wabunge wa chama tawala Chadema kitakacho unda serikali kwa kushirikiana na ACT itakayokuwa inaendesha Baraza la mapinduzi Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha Wewe utakuwa umeingia kwenye siasa juzi

NCCR Mageuzi Ndio chama bora kuwahi kutokea nchini Baada ya CCM

Hakuna chama cha upinzani hata nusu kilichoikaribia Nccr mageuzi

Nccr mageuzi ina wanachama kila kona ya Tanzania

Mbatia akiwa KUB atafanya kazi vizuri na serkali

Kule Zanzibar ushindi kwa Ccm ni 100%Karibu kwenye siasa kijana Chakaza,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom