Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri wangu utakusaidia nini?
Mambo ya umri ni muhimu kuna kitu kinaitwa foolish age, ww taja umri wako tuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuambia hii kasi uliyoingia nayo hapa jukwaani juzi, ni lazima uzoe mabasha wote wa humu jf.
Hovyooo endelea kunywa bia ya kwenu.Mbatia anapumua kwa hisani ya ccm, Nccr ilishawekwa mfukoni na jiwe
Nyie mnatofauti gani na CWT?.
Tukiwa na tume huru NCCR hawapati hata diwani
Mrema na Mama Tanzania wanalijua hilo
MiMi nasemea uchaguzi unaofataHujui kuwa Mbatia ni mbunge kupitia Nccr mageuzi au umeanza siasa juzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo uhusiano kati ya umri na tabia.