chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
mkuu kibongo bongo kwa views milioni 1 unaweza kupata dola 500 hadi dola 1000 inategemea na urefu wa video yako, ikiwa ndefu kama dk 10 na kuendelea unapiga hata dola 1000, inategemea na dakika watu wanavyoiangaliaNi kawaida kupata hata dola 300 kwa views milioni huku wengine wakipata hadi dola elf 3 kwa views milioni.....ila kibongo bongo tunapepea na dola 50 hadi 60 kwa wastani
2.3 m au 23m? content za Kiswahili?Bro kuendelea kufanya kazi kwa mtu ikiwa haibani Mambo yako ni suala la maamuzi tu ila amini uwezo wa kupata pesa hiyo inawezekana kabisa, maana ninae mdogo wangu ana YouTube channel yake last month kalipwa 23m and I used to saw his contents has a rubish but now he prove me wrong.
Ndio hicho nlichokua nawekewa msisitizo na hio ni moja ya ushahidi nliokuwa nataka nimpe kichwa kimoja humu ndani kigumu kama nazi, binafsi nilitoa makadirio kwamba views milioni tegemea hata dola 600 ila kuna mpuuzi moja alikuwa kakazia kwamba wastani ni dola elf 3 analinganisha channel za kina pewdie pie wa ulaya na hizi za kibongo za kidaku.mkuu kibongo bongo kwa views milioni 1 unaweza kupata dola 500 hadi dola 1000 inategemea na urefu wa video yako, ikiwa ndefu kama dk 10 na kuendelea unapiga hata dola 1000, inategemea na dakika watu wanavyoiangalia
nazungumzia kutokana na experince wala sio kuhadithiwa
Naomba ufafanuzi hapa mkuu, kama nataka kuanzisha chanel kwa ajili ya kufundisha au burudani sina haja ya kulipia?.
Endapo unatumia YouTube kutoa burudani kama msanii au kutumia YouTube kuelimisha Jamii, hakuna gharama