chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Ni kawaida kupata hata dola 300 kwa views milioni huku wengine wakipata hadi dola elf 3 kwa views milioni.....ila kibongo bongo tunapepea na dola 50 hadi 60 kwa wastani
mkuu kibongo bongo kwa views milioni 1 unaweza kupata dola 500 hadi dola 1000 inategemea na urefu wa video yako, ikiwa ndefu kama dk 10 na kuendelea unapiga hata dola 1000, inategemea na dakika watu wanavyoiangalia
nazungumzia kutokana na experince wala sio kuhadithiwa