Faida wanazopata AyoTV,Dizzim TV online,DAUDA TV na youtube channels za wasanii kama Diamond platnumz na wengine.

Faida wanazopata AyoTV,Dizzim TV online,DAUDA TV na youtube channels za wasanii kama Diamond platnumz na wengine.

Ni kawaida kupata hata dola 300 kwa views milioni huku wengine wakipata hadi dola elf 3 kwa views milioni.....ila kibongo bongo tunapepea na dola 50 hadi 60 kwa wastani

mkuu kibongo bongo kwa views milioni 1 unaweza kupata dola 500 hadi dola 1000 inategemea na urefu wa video yako, ikiwa ndefu kama dk 10 na kuendelea unapiga hata dola 1000, inategemea na dakika watu wanavyoiangalia

nazungumzia kutokana na experince wala sio kuhadithiwa
 
Bro kuendelea kufanya kazi kwa mtu ikiwa haibani Mambo yako ni suala la maamuzi tu ila amini uwezo wa kupata pesa hiyo inawezekana kabisa, maana ninae mdogo wangu ana YouTube channel yake last month kalipwa 23m and I used to saw his contents has a rubish but now he prove me wrong.
2.3 m au 23m? content za Kiswahili?
 
mkuu kibongo bongo kwa views milioni 1 unaweza kupata dola 500 hadi dola 1000 inategemea na urefu wa video yako, ikiwa ndefu kama dk 10 na kuendelea unapiga hata dola 1000, inategemea na dakika watu wanavyoiangalia

nazungumzia kutokana na experince wala sio kuhadithiwa
Ndio hicho nlichokua nawekewa msisitizo na hio ni moja ya ushahidi nliokuwa nataka nimpe kichwa kimoja humu ndani kigumu kama nazi, binafsi nilitoa makadirio kwamba views milioni tegemea hata dola 600 ila kuna mpuuzi moja alikuwa kakazia kwamba wastani ni dola elf 3 analinganisha channel za kina pewdie pie wa ulaya na hizi za kibongo za kidaku.

Binafsi naona makadirio yetu hayajapishana sana, mi nilikadiria dola 600 kwa sababu wengi wanacheza karibia na hapo, wewe umekadiria dola 500.....nadhani angalau unaweza kusoma makadirio yetu yanalingana.
 
Kuna mtu lazima anafanyiwa RESEARCH hapa imekaa ki sampling sampling fulani hivi.
 
Back
Top Bottom