#COVID19 Faida ya chanjo kwa ujumla wake

Nimeupenda uzi wako, ila ungeishia hapo tu kwenye sababu za kutengeneza chanjo na usingeingizia habari za dini, andiko hili lingekuwa bora zaidi.

Mkuu, imekuwa advanced sylabus kwa watu wasiojua Biblia?
 
Umechambua vizuri sana, so ukisha chanja ni sawa na kuanza ARV kuwa inakubidi uwe unachanja kila mara? Dah mataifa yatafilisika sana, maana itabidi wawe wanaagiza chanjo kwa ajili ya wananchi wao kila mara na bei itakuwa juu.
 
Umenifurahisha ulivyoanza kuelezea ni dhahili uelewa wako uko sawa kiasi. Isipokuwa hapo katikati na jinsi ulivyomalizia imeonyesha pia kuwa hujui kitu na hii ni porojo kama porojo nyingine.

SOMA VIZURI ANDIKA LANGU

1. Ukichanjwa chanjo yoyote kuna UWEZEKANO (%) wa kupata ugonjwa kutegemeana na uwezo wa chanjo husika (efficacy). Jambo la muhimu sana ni kwamba chanjo inaupa mwili (hata kama utaugua) uwezo wa kupambana na ugonjwa husika.

2. Chanjo nyingi zina booster dose (s), yaani unachanjwa zaidi ya mara moja mfano chanjo ya:-
* Homa ya ini
*TT
*HPV
*Rabies
Na nyingine nyingi.

3. Kuhusu kuingiziwa micro- chip, sina uhakika kama unaulewa au hata tafsiri ya neno "micro-chip".

4. Kuhusu new world order rejea vizuri maandiko, soma vizuri kitabu cha DANIELI na kitabu cha UFUNUO otherwise hujui kitu mkuu.
 
Akili za mwafrika na sayansi wapi na wapi?
Hakuna ugunduzi wowote alofanya mwafrika huku Africa kuhusu chanjo yoyote Ila kukosoa tu vitu vikishagunduliwa.
Pigeni nyungu maana ndipo akili zilipoishia.
Inawezekana unahoji uwezo wa akili yako.

Hao hao Wazungu, unaoona ni binadamu zaidi ya Waafrika, bado wanabishana kuhusu ufanisi na usalama wa chanjo za UVIKO-19.

Tafiti nyingi, katika nchi mbalimbali duniani, zimethibitisha kuwa kinga asilia (natural immunity) ina uwezo wa kuangamiza kirusi cha korona, wakati chanjo zinaua kinga asilia na kuuacha mwili bila uwezo wa kujilinda dhidi ya maambukizi ya magonjwa. Pitia taarifa hizi:


 
...
2. Chanjo nyingi zina booster dose (s), yaani unachanjwa zaidi ya mara moja mfano chanjo ya:-
* Homa ya ini
*TT
*HPV
*Rabies
Na nyingine nyingi. ...

Mkuu HDP andiko lako linaonesha una uelewa. ITAPENDEZA ukinipa mrejesho kuhusu taarifa ifuatayo, ambayo ina "links" za kutosha kukupa maelezo zaidi. Ni utafiti uliofanyika Chuo Kikuu cha California, Marekani, kuhusu uwezo na ufanisi wa chanjo za UVIKO-19:

University of California, San Francisco, May 12, 2021
Conclusion: "In infection-naïve individuals, the second dose boosted the quantity but not quality of the T cell response, while in convalescents the second dose helped neither. Spike-specific T cells from convalescent vaccinees differed strikingly from those of infection-naïve vaccinees, with phenotypic features suggesting superior long-term persistence and ability to home to the respiratory tract including the nasopharynx."
Given that we know the virus spreads through the nasopharynx, the fact that natural infection conveys much stronger mucosal immunity makes it clear that the previously infected are much safer to be around than infection-naive people with the vaccine. The fact that this study artfully couched the choices between vaccinated naive people and vaccinated recovered rather than just plain recovered doesn't change the fact that it's the prior infection, not the vaccine, conveying mucosal immunity. In fact, studies now show that infected vaccinated people contain just as much viral load in their nasopharynx as those unvaccinated, a clearly unmistakable conclusion from the virus spreading wildly in many areas with nearly every adult vaccinated
 
0

Usiishie chanjo ya corona tu, tudadavulie pia na chanjo za ndui, surua, polio na nyinginezo. Na utuelezee ni kwa nini dunia imefanikiwa kuyatokomeza magonjwa yatokanayo, vinginevyo ulichoandika ni porojo tu kama porojo nyingine.
 
Reactions: HDP
So mkuu kabla ya ugunduzi wazungu kwenye matirio ya kutengenezea hirizi je walikuwa wanatengeneza vp sasa hizo hirizi? Au hakukuwa na hirizi?
Walitumia matirio dhaifu kama walvyokuwa wakijifunga magamba ya miti!
 
0



Usiishie chanjo ya corona tu, tudadavulie pia na chanjo za ndui, surua, polio na nyinginezo. Na utuelezee ni kwa nini dunia imefanikiwa kuyatokomeza magonjwa yatokanayo, vinginevyo ulichoandika ni porojo tu kama porojo nyingine.
Hizo chanjo ulizotaja zimetengenezwa kwa kufuata kanuni za kisayansi zilizokubalika.

Chanjo za UVIKO-19 zimeonekana kutokuwa na ufanisi unaotarajiwa na zinapingwa zisitumike karibu duniani kote. Hivyo basi, anayestahili kutoa ufafanuzi ni watengenezaji wenyewe. Lakini tunachoshuhudia ni Makampuni ya madawa na Wanasiasa wanaohimiza kuwa chanjo hizo zinafaa. Maswali ya msingi hajibiwi.
 
0



Usiishie chanjo ya corona tu, tudadavulie pia na chanjo za ndui, surua, polio na nyinginezo. Na utuelezee ni kwa nini dunia imefanikiwa kuyatokomeza magonjwa yatokanayo, vinginevyo ulichoandika ni porojo tu kama porojo nyingine.
Kinacho wasumbua hawa wapinga chanjo ni kutokuwa na uelewa wa msingi katika eneo la chanjo kwa ujumla. Wamepata elimu potofu kutoka google au kwa vishoka wengine. Maana hata huku afya kuna vishoka siyo TANESCO tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…