#COVID19 Faida ya chanjo kwa ujumla wake

Nimeupenda uzi wako, ila ungeishia hapo tu kwenye sababu za kutengeneza chanjo na usingeingizia habari za dini, andiko hili lingekuwa bora zaidi.

Mkuu, imekuwa advanced sylabus kwa watu wasiojua Biblia?
 
Utaratibu wa ufanyaji kazi (mode of action) wa chanjo hizi za mwendo kasi za corona zina uwezekano mkubwa sana wa kudhoofisha mfumo wa asili wa mwili wa kujilinda na magonjwa. Utanielewa tu, iko hivi:

Seli ya kwanza kabisa ya mtu ilianza kwa muunganiko wa mbegu ya kiume na ile ya kike (zygote). Hii seli ilianza kukua kwa utaratibu wa seli kuzaana (cell multiplication, differantition, and specialization).

Kila chembe hai na isiyo hai katika mwili wa mtu imezalishwa ndani kwa ndani kwa utaratibu nilioutaja hapo juu. Na kila kilichozalishwa ndani ya mtu ni kutokana na maelekezo ya vinasaba ambavyo mtu alivirithi toka kwa baba na mama.

Mwili una utaratibu wa kutunza kumbukumbu ya kila kitu kilichozalishwa ndani kwa ndani na mwili wenyewe. Kwa hiyo kitu chochote ambacho kitauvamia mwili kutoka nje ya mwili ambacho hakikuzalishwa ndani ya mwili kitatambuliwa kama mvamizi (foreign body) na mwili una utaratibu wake wa kuzalisha maaskari (antibodies) ambao kazi yake ni kushambulia wavamizi hawa na kuwaangamiza.

Hiyo ndiyo huitwa kinga ya asili. Ili mwili usije kushambulia vitu vilivyotengenezwa na mwili wenyewe ndiyo maana mwili huweka kumbukumbu ya kila kilichotengenezwa na mwili wenyewe! Vinginevyo mwili ungeweza kujitafuna wenyewe!!

Maelekezo yote ya kitu gani kitengenezwe kwa wakati gani yote yako ndani ya seli yenyewe kwenye vinasaba.
Kwa utaratibu wa chanjo za mRNA, kwa mara ya kwanza mwili unarubuniwa kutengeneza kinga ya mwili kwa maelekezo toka nje ya mwili na yasiyotoka kwenye vinasaba ya mtu.

Iko hivi: Hiyo chanjo ya mRNA ni sehema ya vinasaba vya corona vilivyobeba maelekezo namna ya kutengeneza "miiba ya corona" ambayo hutumika kuisaidia corona kupenya kwenye seli ya mtu vijulikanavyo kama spike protein. Vikiingizwa kwenye seli ya mtu, seli itadhani kuwa haya ni maelekezo kutoka kwenye vinasaba vyake (wakati siyo), na seli itaanza utaratibu wa kutekeleza hayo maelekezo yaliyobebwa na mRNA na kutengengeneza hiyo miiba ya corona (spike protein).

Kumbuka kuwa hapo kabla seli haijawahi kutengeneza hiyo miiba ya corona, kwa hiyo haina kumbukumbu hiyo. Kwa hiyo japokuwa hiyo miiba imetengenezwa ndani ya seli, lakini kwa kuwa hakuna kumbukumbu ya utengenezaji wa miiba hiyo kabla, hiyo miiba iliyotengenezwa sasa itahesabika kama mvamizi, na mwili utaanza kutengeneza maaskari (antibodies) wa kushambulia miiba hiyo, hiyo ndiyo kinga itakayotengenezwa dhidi ya sehemu hiyo ya corona.

Kwa hiyo inatazamiwa kuwa mwili utakuwa umejifunza kutengeneza maaskari dhidi ya corona kwa kuwa corona huwa na miiba hiyo. Siku corona mwenyewe akivamia maaskari watakuwa tayari kutengenezwa na kumshambulia!! Hayo ndiyo matarajio!!

Lakini katika hali halisi haiwi hivyo kwa sababu baada ya mwili kuwa umetengeneza hiyo miiba ya corona kwa mara ya kwanza kwa maelekezo toka nje ya mwili, mwili uliweka pia kumbukumbu kuwa hiyo miiba ni sehemu ya mwili wa mtu maana imezalishwa ndani ya mwili na haipaswi kuchukuliwa kama mvamizi!! Mwanzo ilihesabika kama mvamizi maana hakukuwepo kumbukumbu ndani ya mwili ya utengenezaji huo kabla. Lakini kwa sasa mwili una kumbukumbu ya utengenezaji wa sehemu hiyo ya corona. Kwa hiyo corona akiingia mwilini sasa ile miiba yake haitashambuliwa na maaskari wa mwili maana itahesabika kama sehemu halali iliyotengenezwa ndani ya seli yenyewe. Hii ndiyo sababu hata aliyechanjwa anaweza kuambukizwa!!

Watengenezaji wa chanjo za mRNA wanayajua yote haya !! Ndiyo maana hawakatai ukweli kuwa chanjo haizuii usiambukizwe!! Ndiyo maana kila baada ya muda fulani aliyechanjwa lazima achanjwe tena ili ku-boost kinga yake iliyolemazwa!! Maisha yake yote ataishi kwa kuchomwa chanjo za ku-boost kinga yake!! Ni kilema cha maisha cha kulemaa kwa mfumo wa asili wa kinga ya mwili!!

Sasa utajiuliza, kama wanajua hivyo kwa nini wanaikazania sana hii chanjo? Jibu ni kuwa kwao hii chanjo ina manufaa mawili makubwa: Kwanza ni fursa ya kuwaingizia watu microchip kwa ajili ya kuwafuatilia vilivyo na kuwasajili kwenye mfumo mpya wa ulimwengu yaani New world order. Pili chanjo ni biashara kubwa itakayohamisha kabisa uchumi wa mataifa na kuwekwa mikononi mwa watu wachache ambao itawarahisishia kuitawala dunia baada ya mataifa kufilisika kabisa!! Hapo ndipo ujio wa mpinga kristo utakapokuwa dhahiri. Kinachoendelea na maandalizi yake! Chanjo ni maandalizi ya mfumo wa utawala wa mpinga kristo!!
Umechambua vizuri sana, so ukisha chanja ni sawa na kuanza ARV kuwa inakubidi uwe unachanja kila mara? Dah mataifa yatafilisika sana, maana itabidi wawe wanaagiza chanjo kwa ajili ya wananchi wao kila mara na bei itakuwa juu.
 
Umenifurahisha ulivyoanza kuelezea ni dhahili uelewa wako uko sawa kiasi. Isipokuwa hapo katikati na jinsi ulivyomalizia imeonyesha pia kuwa hujui kitu na hii ni porojo kama porojo nyingine.

SOMA VIZURI ANDIKA LANGU

1. Ukichanjwa chanjo yoyote kuna UWEZEKANO (%) wa kupata ugonjwa kutegemeana na uwezo wa chanjo husika (efficacy). Jambo la muhimu sana ni kwamba chanjo inaupa mwili (hata kama utaugua) uwezo wa kupambana na ugonjwa husika.

2. Chanjo nyingi zina booster dose (s), yaani unachanjwa zaidi ya mara moja mfano chanjo ya:-
* Homa ya ini
*TT
*HPV
*Rabies
Na nyingine nyingi.

3. Kuhusu kuingiziwa micro- chip, sina uhakika kama unaulewa au hata tafsiri ya neno "micro-chip".

4. Kuhusu new world order rejea vizuri maandiko, soma vizuri kitabu cha DANIELI na kitabu cha UFUNUO otherwise hujui kitu mkuu.
 
Go and study;

Screenshot_20210831-085112.png
 
  • Thanks
Reactions: HDP
Akili za mwafrika na sayansi wapi na wapi?
Hakuna ugunduzi wowote alofanya mwafrika huku Africa kuhusu chanjo yoyote Ila kukosoa tu vitu vikishagunduliwa.
Pigeni nyungu maana ndipo akili zilipoishia.
Inawezekana unahoji uwezo wa akili yako.

Hao hao Wazungu, unaoona ni binadamu zaidi ya Waafrika, bado wanabishana kuhusu ufanisi na usalama wa chanjo za UVIKO-19.

Tafiti nyingi, katika nchi mbalimbali duniani, zimethibitisha kuwa kinga asilia (natural immunity) ina uwezo wa kuangamiza kirusi cha korona, wakati chanjo zinaua kinga asilia na kuuacha mwili bila uwezo wa kujilinda dhidi ya maambukizi ya magonjwa. Pitia taarifa hizi:

...
2. Chanjo nyingi zina booster dose (s), yaani unachanjwa zaidi ya mara moja mfano chanjo ya:-
* Homa ya ini
*TT
*HPV
*Rabies
Na nyingine nyingi. ...

Mkuu HDP andiko lako linaonesha una uelewa. ITAPENDEZA ukinipa mrejesho kuhusu taarifa ifuatayo, ambayo ina "links" za kutosha kukupa maelezo zaidi. Ni utafiti uliofanyika Chuo Kikuu cha California, Marekani, kuhusu uwezo na ufanisi wa chanjo za UVIKO-19:

University of California, San Francisco, May 12, 2021
Conclusion: "In infection-naïve individuals, the second dose boosted the quantity but not quality of the T cell response, while in convalescents the second dose helped neither. Spike-specific T cells from convalescent vaccinees differed strikingly from those of infection-naïve vaccinees, with phenotypic features suggesting superior long-term persistence and ability to home to the respiratory tract including the nasopharynx."
Given that we know the virus spreads through the nasopharynx, the fact that natural infection conveys much stronger mucosal immunity makes it clear that the previously infected are much safer to be around than infection-naive people with the vaccine. The fact that this study artfully couched the choices between vaccinated naive people and vaccinated recovered rather than just plain recovered doesn't change the fact that it's the prior infection, not the vaccine, conveying mucosal immunity. In fact, studies now show that infected vaccinated people contain just as much viral load in their nasopharynx as those unvaccinated, a clearly unmistakable conclusion from the virus spreading wildly in many areas with nearly every adult vaccinated
 
0
Utaratibu wa ufanyaji kazi (mode of action) wa chanjo hizi za mwendo kasi za corona zina uwezekano mkubwa sana wa kudhoofisha mfumo wa asili wa mwili wa kujilinda na magonjwa. Utanielewa tu, iko hivi:

Seli ya kwanza kabisa ya mtu ilianza kwa muunganiko wa mbegu ya kiume na ile ya kike (zygote). Hii seli ilianza kukua kwa utaratibu wa seli kuzaana (cell multiplication, differantition, and specialization).

Kila chembe hai na isiyo hai katika mwili wa mtu imezalishwa ndani kwa ndani kwa utaratibu nilioutaja hapo juu. Na kila kilichozalishwa ndani ya mtu ni kutokana na maelekezo ya vinasaba ambavyo mtu alivirithi toka kwa baba na mama.

Mwili una utaratibu wa kutunza kumbukumbu ya kila kitu kilichozalishwa ndani kwa ndani na mwili wenyewe. Kwa hiyo kitu chochote ambacho kitauvamia mwili kutoka nje ya mwili ambacho hakikuzalishwa ndani ya mwili kitatambuliwa kama mvamizi (foreign body) na mwili una utaratibu wake wa kuzalisha maaskari (antibodies) ambao kazi yake ni kushambulia wavamizi hawa na kuwaangamiza.

Hiyo ndiyo huitwa kinga ya asili. Ili mwili usije kushambulia vitu vilivyotengenezwa na mwili wenyewe ndiyo maana mwili huweka kumbukumbu ya kila kilichotengenezwa na mwili wenyewe! Vinginevyo mwili ungeweza kujitafuna wenyewe!!

Maelekezo yote ya kitu gani kitengenezwe kwa wakati gani yote yako ndani ya seli yenyewe kwenye vinasaba.
Kwa utaratibu wa chanjo za mRNA, kwa mara ya kwanza mwili unarubuniwa kutengeneza kinga ya mwili kwa maelekezo toka nje ya mwili na yasiyotoka kwenye vinasaba ya mtu.

Iko hivi: Hiyo chanjo ya mRNA ni sehema ya vinasaba vya corona vilivyobeba maelekezo namna ya kutengeneza "miiba ya corona" ambayo hutumika kuisaidia corona kupenya kwenye seli ya mtu vijulikanavyo kama spike protein. Vikiingizwa kwenye seli ya mtu, seli itadhani kuwa haya ni maelekezo kutoka kwenye vinasaba vyake (wakati siyo), na seli itaanza utaratibu wa kutekeleza hayo maelekezo yaliyobebwa na mRNA na kutengengeneza hiyo miiba ya corona (spike protein).

Kumbuka kuwa hapo kabla seli haijawahi kutengeneza hiyo miiba ya corona, kwa hiyo haina kumbukumbu hiyo. Kwa hiyo japokuwa hiyo miiba imetengenezwa ndani ya seli, lakini kwa kuwa hakuna kumbukumbu ya utengenezaji wa miiba hiyo kabla, hiyo miiba iliyotengenezwa sasa itahesabika kama mvamizi, na mwili utaanza kutengeneza maaskari (antibodies) wa kushambulia miiba hiyo, hiyo ndiyo kinga itakayotengenezwa dhidi ya sehemu hiyo ya corona.

Kwa hiyo inatazamiwa kuwa mwili utakuwa umejifunza kutengeneza maaskari dhidi ya corona kwa kuwa corona huwa na miiba hiyo. Siku corona mwenyewe akivamia maaskari watakuwa tayari kutengenezwa na kumshambulia!! Hayo ndiyo matarajio!!

Lakini katika hali halisi haiwi hivyo kwa sababu baada ya mwili kuwa umetengeneza hiyo miiba ya corona kwa mara ya kwanza kwa maelekezo toka nje ya mwili, mwili uliweka pia kumbukumbu kuwa hiyo miiba ni sehemu ya mwili wa mtu maana imezalishwa ndani ya mwili na haipaswi kuchukuliwa kama mvamizi!! Mwanzo ilihesabika kama mvamizi maana hakukuwepo kumbukumbu ndani ya mwili ya utengenezaji huo kabla. Lakini kwa sasa mwili una kumbukumbu ya utengenezaji wa sehemu hiyo ya corona. Kwa hiyo corona akiingia mwilini sasa ile miiba yake haitashambuliwa na maaskari wa mwili maana itahesabika kama sehemu halali iliyotengenezwa ndani ya seli yenyewe. Hii ndiyo sababu hata aliyechanjwa anaweza kuambukizwa!!

Watengenezaji wa chanjo za mRNA wanayajua yote haya !! Ndiyo maana hawakatai ukweli kuwa chanjo haizuii usiambukizwe!! Ndiyo maana kila baada ya muda fulani aliyechanjwa lazima achanjwe tena ili ku-boost kinga yake iliyolemazwa!! Maisha yake yote ataishi kwa kuchomwa chanjo za ku-boost kinga yake!! Ni kilema cha maisha cha kulemaa kwa mfumo wa asili wa kinga ya mwili!!

Sasa utajiuliza, kama wanajua hivyo kwa nini wanaikazania sana hii chanjo? Jibu ni kuwa kwao hii chanjo ina manufaa mawili makubwa: Kwanza ni fursa ya kuwaingizia watu microchip kwa ajili ya kuwafuatilia vilivyo na kuwasajili kwenye mfumo mpya wa ulimwengu yaani New world order. Pili chanjo ni biashara kubwa itakayohamisha kabisa uchumi wa mataifa na kuwekwa mikononi mwa watu wachache ambao itawarahisishia kuitawala dunia baada ya mataifa kufilisika kabisa!! Hapo ndipo ujio wa mpinga kristo utakapokuwa dhahiri. Kinachoendelea na maandalizi yake! Chanjo ni maandalizi ya mfumo wa utawala wa mpinga kristo!!

Utaratibu wa ufanyaji kazi (mode of action) wa chanjo hizi za mwendo kasi za corona zina uwezekano mkubwa sana wa kudhoofisha mfumo wa asili wa mwili wa kujilinda na magonjwa. Utanielewa tu, iko hivi:

Seli ya kwanza kabisa ya mtu ilianza kwa muunganiko wa mbegu ya kiume na ile ya kike (zygote). Hii seli ilianza kukua kwa utaratibu wa seli kuzaana (cell multiplication, differantition, and specialization).

Kila chembe hai na isiyo hai katika mwili wa mtu imezalishwa ndani kwa ndani kwa utaratibu nilioutaja hapo juu. Na kila kilichozalishwa ndani ya mtu ni kutokana na maelekezo ya vinasaba ambavyo mtu alivirithi toka kwa baba na mama.

Mwili una utaratibu wa kutunza kumbukumbu ya kila kitu kilichozalishwa ndani kwa ndani na mwili wenyewe. Kwa hiyo kitu chochote ambacho kitauvamia mwili kutoka nje ya mwili ambacho hakikuzalishwa ndani ya mwili kitatambuliwa kama mvamizi (foreign body) na mwili una utaratibu wake wa kuzalisha maaskari (antibodies) ambao kazi yake ni kushambulia wavamizi hawa na kuwaangamiza.

Hiyo ndiyo huitwa kinga ya asili. Ili mwili usije kushambulia vitu vilivyotengenezwa na mwili wenyewe ndiyo maana mwili huweka kumbukumbu ya kila kilichotengenezwa na mwili wenyewe! Vinginevyo mwili ungeweza kujitafuna wenyewe!!

Maelekezo yote ya kitu gani kitengenezwe kwa wakati gani yote yako ndani ya seli yenyewe kwenye vinasaba.
Kwa utaratibu wa chanjo za mRNA, kwa mara ya kwanza mwili unarubuniwa kutengeneza kinga ya mwili kwa maelekezo toka nje ya mwili na yasiyotoka kwenye vinasaba ya mtu.

Iko hivi: Hiyo chanjo ya mRNA ni sehema ya vinasaba vya corona vilivyobeba maelekezo namna ya kutengeneza "miiba ya corona" ambayo hutumika kuisaidia corona kupenya kwenye seli ya mtu vijulikanavyo kama spike protein. Vikiingizwa kwenye seli ya mtu, seli itadhani kuwa haya ni maelekezo kutoka kwenye vinasaba vyake (wakati siyo), na seli itaanza utaratibu wa kutekeleza hayo maelekezo yaliyobebwa na mRNA na kutengengeneza hiyo miiba ya corona (spike protein).

Kumbuka kuwa hapo kabla seli haijawahi kutengeneza hiyo miiba ya corona, kwa hiyo haina kumbukumbu hiyo. Kwa hiyo japokuwa hiyo miiba imetengenezwa ndani ya seli, lakini kwa kuwa hakuna kumbukumbu ya utengenezaji wa miiba hiyo kabla, hiyo miiba iliyotengenezwa sasa itahesabika kama mvamizi, na mwili utaanza kutengeneza maaskari (antibodies) wa kushambulia miiba hiyo, hiyo ndiyo kinga itakayotengenezwa dhidi ya sehemu hiyo ya corona.

Kwa hiyo inatazamiwa kuwa mwili utakuwa umejifunza kutengeneza maaskari dhidi ya corona kwa kuwa corona huwa na miiba hiyo. Siku corona mwenyewe akivamia maaskari watakuwa tayari kutengenezwa na kumshambulia!! Hayo ndiyo matarajio!!

Lakini katika hali halisi haiwi hivyo kwa sababu baada ya mwili kuwa umetengeneza hiyo miiba ya corona kwa mara ya kwanza kwa maelekezo toka nje ya mwili, mwili uliweka pia kumbukumbu kuwa hiyo miiba ni sehemu ya mwili wa mtu maana imezalishwa ndani ya mwili na haipaswi kuchukuliwa kama mvamizi!! Mwanzo ilihesabika kama mvamizi maana hakukuwepo kumbukumbu ndani ya mwili ya utengenezaji huo kabla. Lakini kwa sasa mwili una kumbukumbu ya utengenezaji wa sehemu hiyo ya corona. Kwa hiyo corona akiingia mwilini sasa ile miiba yake haitashambuliwa na maaskari wa mwili maana itahesabika kama sehemu halali iliyotengenezwa ndani ya seli yenyewe. Hii ndiyo sababu hata aliyechanjwa anaweza kuambukizwa!!

Watengenezaji wa chanjo za mRNA wanayajua yote haya !! Ndiyo maana hawakatai ukweli kuwa chanjo haizuii usiambukizwe!! Ndiyo maana kila baada ya muda fulani aliyechanjwa lazima achanjwe tena ili ku-boost kinga yake iliyolemazwa!! Maisha yake yote ataishi kwa kuchomwa chanjo za ku-boost kinga yake!! Ni kilema cha maisha cha kulemaa kwa mfumo wa asili wa kinga ya mwili!!

Sasa utajiuliza, kama wanajua hivyo kwa nini wanaikazania sana hii chanjo? Jibu ni kuwa kwao hii chanjo ina manufaa mawili makubwa: Kwanza ni fursa ya kuwaingizia watu microchip kwa ajili ya kuwafuatilia vilivyo na kuwasajili kwenye mfumo mpya wa ulimwengu yaani New world order. Pili chanjo ni biashara kubwa itakayohamisha kabisa uchumi wa mataifa na kuwekwa mikononi mwa watu wachache ambao itawarahisishia kuitawala dunia baada ya mataifa kufilisika kabisa!! Hapo ndipo ujio wa mpinga kristo utakapokuwa dhahiri. Kinachoendelea na maandalizi yake! Chanjo ni maandalizi ya mfumo wa utawala wa mpinga kristo!!
Usiishie chanjo ya corona tu, tudadavulie pia na chanjo za ndui, surua, polio na nyinginezo. Na utuelezee ni kwa nini dunia imefanikiwa kuyatokomeza magonjwa yatokanayo, vinginevyo ulichoandika ni porojo tu kama porojo nyingine.
 
  • Thanks
Reactions: HDP
So mkuu kabla ya ugunduzi wazungu kwenye matirio ya kutengenezea hirizi je walikuwa wanatengeneza vp sasa hizo hirizi? Au hakukuwa na hirizi?
Walitumia matirio dhaifu kama walvyokuwa wakijifunga magamba ya miti!
 
0

Usiishie chanjo ya corona tu, tudadavulie pia na chanjo za ndui, surua, polio na nyinginezo. Na utuelezee ni kwa nini dunia imefanikiwa kuyatokomeza magonjwa yatokanayo, vinginevyo ulichoandika ni porojo tu kama porojo nyingine.
Hizo chanjo ulizotaja zimetengenezwa kwa kufuata kanuni za kisayansi zilizokubalika.

Chanjo za UVIKO-19 zimeonekana kutokuwa na ufanisi unaotarajiwa na zinapingwa zisitumike karibu duniani kote. Hivyo basi, anayestahili kutoa ufafanuzi ni watengenezaji wenyewe. Lakini tunachoshuhudia ni Makampuni ya madawa na Wanasiasa wanaohimiza kuwa chanjo hizo zinafaa. Maswali ya msingi hajibiwi.
 
0

Usiishie chanjo ya corona tu, tudadavulie pia na chanjo za ndui, surua, polio na nyinginezo. Na utuelezee ni kwa nini dunia imefanikiwa kuyatokomeza magonjwa yatokanayo, vinginevyo ulichoandika ni porojo tu kama porojo nyingine.
Kinacho wasumbua hawa wapinga chanjo ni kutokuwa na uelewa wa msingi katika eneo la chanjo kwa ujumla. Wamepata elimu potofu kutoka google au kwa vishoka wengine. Maana hata huku afya kuna vishoka siyo TANESCO tu
 
Back
Top Bottom